Hapo sasa, Mchungaji anakula kondoo aliyenonaMoyo mashine
[emoji23][emoji23][emoji23]Moyo mashine
Hapo sasa, Mchungaji anakula kondoo aliyenona
Unajitambulisha wewe ni mpendwa wa baba Mtumishisawa nitaenda tatizo nitapokelewa [emoji23] si unajua kuna makanisa kama hauna hela huingii nahisi na kwa ba paroko nitakutana nayo
hahahahhhUnajitambulisha wewe ni mpendwa wa baba Mtumishi
Nakwambia huyu anataka kula kondoo aliyenonakondoo sakayo unaitwa na bwana huku
Si mimi, bali ni huyu mwanamke uliyenipa hapo chini. Kanidanganya nikala hili tunda...Jamani babu!!!
Sasa unaanza kuharibu Kwaresma jamani babuu
kondoo sakayo unaitwa na bwana huku
soma hiyo hapo....Hadithi: Malaika wa shetaniAsante but hii haina story
Hadithi ipo jukwaa lipi brooo
Umekula tunda la mti uliokatazwaSi mimi, bali nihu mwanamke uliyenipa hapo chini. Kanidanganya nikala hili tunda...
Ila dhambi zote, hata iwe nyekundu kama damu, itasafishwa na kuwa nyeupe kama thelujiUmekula tunda la mti uliokatazwa
ShkamooIla dhambi zote, hata iwe nyekundu kama damu, itasafishwa na kuwa nyeupe kama theluji
Hayo makanisa mengine utapotea njia... maana askofu ndie mchungaji, ndie katekista, ndiye nabii, mtume na kwaya masta... we kondoo utasalimika?? Utafia malishoniTeh teh teh
Aiseeee, nahama kanisa
Afadhali nifie malishoni nikijitafutia chakula cha moyo kuliko kukulwa na MchungajiHayo makanisa mengine utapotea njia... maana askofu ndie mchungaji, ndie katekista, ndiye nabii, mtume na kwaya masta... we kondoo utasalimika?? Utafia malishoni
Babu naona unataka kumtafuna muhumini wangu, nimekuangalia toka mwanzo, naomba mje niwafungishe ndoa.Sasa jamani, kuchunga nichunge mimi, afu vinono wale wengine???
Hapana, acha nifaidi matunda ya malisho yangu...
kam zis wei Sakayo ... tena uje without kabisa tufanye utakaso wa via vya uzazi.
miss u tooOooh thats my hubby!!
Love you sooo much darling, huwa unanifanya nicheke sana kwa comment zako, akili zako unazijua mwenyewe.
Hivi hujui kama nimekumiss? Plz do the needfull honey.
hahahhhNakwambia huyu anataka kula kondoo aliyenona