Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

Asante but hii haina story

Hadithi ipo jukwaa lipi brooo
soma hiyo hapo....Hadithi: Malaika wa shetani
na hii ama hii....Hadithi: Tutarudi na roho zetu?
nyingine hii hapa...Hadithi: Mikataba ya kishetani
au unaweza kununua
kwa bei ya shilingi 10,000 kwa kila nakala. Kama upo mikoani pia, unaweza kutumiwa nakala kwa njia ya bus ambayo gharama yake ni 5000 au sanduku la posta ambayo gharama yake ni 3000.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0712504985 au 0763044459
KARIBUNI WOTE.
 
Sasa jamani, kuchunga nichunge mimi, afu vinono wale wengine???

Hapana, acha nifaidi matunda ya malisho yangu...

kam zis wei Sakayo ... tena uje without kabisa tufanye utakaso wa via vya uzazi.
Babu naona unataka kumtafuna muhumini wangu, nimekuangalia toka mwanzo, naomba mje niwafungishe ndoa.
 
Oooh thats my hubby!!
Love you sooo much darling, huwa unanifanya nicheke sana kwa comment zako, akili zako unazijua mwenyewe.
Hivi hujui kama nimekumiss? Plz do the needfull honey.
miss u too
what am i supposed to do?
 
Back
Top Bottom