Unamkufuru roho mtakatifu... mchungaji hakukuli bali anakupaka mafuta na kukumwagia maji ya baraka...Afadhali nifie malishoni nikijitafutia chakula cha moyo kuliko kukulwa na Mchungaji
HeheheBabu naona unataka kumtafuna muhumini wangu, nimekuangalia toka mwanzo, naomba mje niwafungishe ndoa.
mwanamke yupi huyo Babu wa chiniSi mimi, bali ni huyu mwanamke uliyenipa hapo chini. Kanidanganya nikala hili tunda...
He!! Kumbe huyu hana msimamo? Alinambia yeye ni muumini wangu pekee anayebarikiwa na huduma yangu? Vipi, ulishambatiza kwa maji mengi???Babu naona unataka kumtafuna muhumini wangu, nimekuangalia toka mwanzo, naomba mje niwafungishe ndoa.
hahahahhhBabu naona unataka kumtafuna muhumini wangu, nimekuangalia toka mwanzo, naomba mje niwafungishe ndoa.
Tulia Delila, niache nifanye kazi za bwana...mwanamke yupi huyo Babu wa chini
BabuuuuTulia Delila, niache nifanye kazi za bwana...
Huo mguno wa mambo ya chapchap kwenye gari, hauruhusiwi hapa kwenye nyumba ya baba yangu.aiseee
Labeka mama....Babuuuu
Maji ya baraka nipe nikaogee kwangu kisha nijipake mafuta ya baraka na neemaUnamkufuru roho mtakatifu... mchungaji hakukuli bali anakupaka mafuta na kukumwagia maji ya baraka...
lazima upakwe na mikono yangu mitakavitu iliyobarikiwa... ili nikupanguse jasho kwa ndevu zanguMaji ya baraka nipe nikaogee kwangu kisha nijipake mafuta ya baraka na neema
Sakayo kwangu alishakimbia, kisa sadaka, kanisani kwako amekuja tangu lini? Anatoa sadaka huko? Nimebaki na shunie huyu naenda nae kidogo kidogo anajua umuhimu wa sadaka ndiyo nacho mpendea,He!! Kumbe huyu hana msimamo? Alinambia yeye ni muumini wangu pekee anayebarikiwa na huduma yangu? Vipi, ulishambatiza kwa maji mengi???
Hapo kwa Shunie umelamba dume... mtoto si mvivu kwenye huduma za kiroho... ukitaka umpate vizuri, mpe sadaka ili akuletee... Huyu Sakayo bado anaogopa kuingia malangoni... nataka nimbatize kwa moto.Sakayo kwangu alishakimbia, kisa sadaka, kanisani kwako amekuja tangu lini? Anatoa sadaka huko? Nimebaki na shunie huyu naenda nae kidogo kidogo anajua umuhimu wa sadaka ndiyo nacho mpendea,
Ukinishika mkono naamini na mikono yangu itabarikiwa, kwa hiyo nikijipaka mwenyewe sio mbayalazima upakwe na mikono yangu mitakavitu iliyobarikiwa... ili nikupanguse jasho kwa ndevu zangu
Uzuri wa babu hataki sadaka kabisaa, yeye anapaka tu mafuta sasa hapo akili kumkichwaSakayo kwangu alishakimbia, kisa sadaka, kanisani kwako amekuja tangu lini? Anatoa sadaka huko? Nimebaki na shunie huyu naenda nae kidogo kidogo anajua umuhimu wa sadaka ndiyo nacho mpendea,
Ewaaa... mikono yangu lazima ikushike sehemu zote za mwili wako... hasa zile zinazoshambuliwa zaidi na mapepo... ili wakati nakumiminia maji ya baraka uwe umeshatakasikaUkinishika mkono naamini na mikono yangu itabarikiwa, kwa hiyo nikijipaka mwenyewe sio mbaya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shunie ana jukwaa lake lile pendwa, akianza tupia post utalia kwa raha
Sadaka mimi ndo nakupa ili uilete madhabahuni...Uzuri wa babu hataki sadaka kabisaa, yeye anapaka tu mafuta sasa hapo akili kumkichwa
Lile jukwaa lake nalifanyia maombi liunguzwe kwa moto wa jehanamu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shunie ana jukwaa lake lile pendwa, akianza tupia post utalia kwa raha