Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

He!! Kumbe huyu hana msimamo? Alinambia yeye ni muumini wangu pekee anayebarikiwa na huduma yangu? Vipi, ulishambatiza kwa maji mengi???
Sakayo kwangu alishakimbia, kisa sadaka, kanisani kwako amekuja tangu lini? Anatoa sadaka huko? Nimebaki na shunie huyu naenda nae kidogo kidogo anajua umuhimu wa sadaka ndiyo nacho mpendea,
 
Hapo kwa Shunie umelamba dume... mtoto si mvivu kwenye huduma za kiroho... ukitaka umpate vizuri, mpe sadaka ili akuletee... Huyu Sakayo bado anaogopa kuingia malangoni... nataka nimbatize kwa moto.
 
Sakayo kwangu alishakimbia, kisa sadaka, kanisani kwako amekuja tangu lini? Anatoa sadaka huko? Nimebaki na shunie huyu naenda nae kidogo kidogo anajua umuhimu wa sadaka ndiyo nacho mpendea,
Uzuri wa babu hataki sadaka kabisaa, yeye anapaka tu mafuta sasa hapo akili kumkichwa
 
Ukinishika mkono naamini na mikono yangu itabarikiwa, kwa hiyo nikijipaka mwenyewe sio mbaya
Ewaaa... mikono yangu lazima ikushike sehemu zote za mwili wako... hasa zile zinazoshambuliwa zaidi na mapepo... ili wakati nakumiminia maji ya baraka uwe umeshatakasika
 
Back
Top Bottom