Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

Duh! Hamna ata mmoja anapenda uwepo wangu uku [emoji15] [emoji15] [emoji15] mmetisha aisee [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Ndo maana umekua wakwanza kwenye list, tumevuka milima na mabonde, sio kwa vichambo vile mpaka tunaji quote nakujichamba wenyewe, aaaaj
Hahahahahhahahahahah uwiiii nakuja pm
 
Hebu tuwekee na orodha ya unaowanyali
 
Back
Top Bottom