MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Ndio wewe jitu jeusi kama mkaaaNatumai huyo Malcom X siyo mimi.
Wakuu leo nataka tutaje watu watatu ambao wanaokufanya uendelee kuipenda JF kiasi kwamba usipoingia JF unakuwa unawakumbuka sana
Pia hata ukisikia hizi tetesi za huenda huu mtandao wetu pendwa ukifungiwa utawamiss sana
Tukianza na mimi nawakubali hawa
1)Mo 11
Huyu dogo huwa nacheka sana kila nikiona comment yake
2)Le mutuz
Huyu jamaa huwa pia ananifurahisha sana aisee mpaka najiuliza kama alishawahi kuugua ukichaa enzi za utoto wake maana majibu yake na umri wake aisee ni vitu viwili tofauti
3)Brave one
Huyu dogo naye thread zake zimetulia sana ,ukitaka thread za mastaa basi mtafute huyu jamaa mpaka najiuliza huyu jamaa anapataga wapi habari maana zingine ni nyeti sana yani.
My lovely kaka nimefichwa na shida za dunia. Miss you.Mimi nakukubali sana wewe peke yako espy .
Sijakuona muda umejifichia wapi?
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Hapa sasa kwanza nawakaubali jf woote
Halafu wapo sasa wa kukwawakilisha
Aishah2016
Mrs Van
Hance Mtanashati
Mondray
Dinazarde
Sky Eclat
ISIS
MSAGA SUMU
Sakayo
Candyscorpion
PNC 1
Aleyn
CHIKIRA MTABIRI
Shunie
warumi
espy
Watu wangu woote wa majukwaa ya Barcelona fc, Real Madrid na Man utd.
Ayayaaaa[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Mmmmmhhhh sitakiiiiiiiiiiii!!!!!!Ayayaaaa
Barbarita wewe mtu wa muhimu sema nadhan uzi niliuandika tukiwa hatuja fahamiana bado.
Ngoja ufanyiwe ammendment
Kweli bhanaMmmmmhhhh sitakiiiiiiiiiiii!!!!!!
We ayaaaa.... Ungetozwa fain apaKweli bhana
Tulichelewa kukufahamiana
Nenda kaangalie tena pale bow upo juu kabsa
thank you mkuu
HahahaaWe ayaaaa.... Ungetozwa fain apa
Aaaahahahahaa...... Ningekufata na fimbo. Ingebidi na wewe uweke vyeti mezaniHahahaa
Ningeenda KKKT kimara jumapili inayo fuata kumwaga chozi, kama bashite
My secret admirerSky huja mu indicate unaye mshukuru
[emoji1]