Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

Umeambiwa utaje watatu tu ws
E ndio umeweka ukoo mzimaa
 
Duh we jamaa katili kichizi ,umewachinjia baharini wenzako hivi hivi,wenyewe wamejikakamua kukusifia halafu wewe unawakataa kweupeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu MTU ni kauzuuuu zsidi ya dagaa
 
nawakubali mshana Jr
ninaempenda miss natafuta I wish nkutane nae tuu wa kwanza kabisa faiza fox huwa najikutaga nalitaja jina lake tuu kila mda
 
Babu Daby
Joanah
Paprika
Sakayo
Miss chagga
Miss natafuta
Saint ivuga pamoja na ubabe wake
Transcend
Kisu cha Ngariba natamani nikutane nae Siku moja
My Dada shunie
Scorpion nan sijui nimesahauu
.............na wengine wengi
Akina
Regio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…