Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

My List
Kwa washkaji zangu ni
lee empire
Daby
werrason
CHARMILTON
Bonny
Nyoka_mzee
NIYOMBARE adui yangu namba moja kwa J
@Mods wote walio nipa bann
Transcend
Iceman 3D
@Shululu
@Mussolin5
[USER=327659]usser

Saint Ivuga
BAK
And all kapukuz
Kwa madada
joanah
Numbisa
miss charming
Shunie
BlessedHope
CHIKIRA MTABARI
mahondaw
Clkey
Candyscorpion Huyu nahisi ni ubavu wangu uliotolewa sometimes
Paprika
And all kapukuz
Hao ni baadhi ya members ambao wapo na mm tangia najiunga hapa dec 1, shukran za pekee ziwaeendee brothers wa kapuku forum.[/USER]
Umeambiwa utaje watatu tu ws
E ndio umeweka ukoo mzimaa
 
Duh we jamaa katili kichizi ,umewachinjia baharini wenzako hivi hivi,wenyewe wamejikakamua kukusifia halafu wewe unawakataa kweupeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu MTU ni kauzuuuu zsidi ya dagaa
 
nawakubali mshana Jr
ninaempenda miss natafuta I wish nkutane nae tuu wa kwanza kabisa faiza fox huwa najikutaga nalitaja jina lake tuu kila mda
 
Babu Daby
Joanah
Paprika
Sakayo
Miss chagga
Miss natafuta
Saint ivuga pamoja na ubabe wake
Transcend
Kisu cha Ngariba natamani nikutane nae Siku moja
My Dada shunie
Scorpion nan sijui nimesahauu
.............na wengine wengi
Akina
Regio
 
Back
Top Bottom