Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

Aisee kuna hawa watu watatu huwa nainjoi sana mambo yao..
Numbisa & Asprin hawa watu hua wananifurahisha jinsi wanavyotaniana kwa mipicha ya mpaka naonekana Chizi kwa kucheka..
Pia mshana jr ananifurahisha kwa nyuzi zake za picha picha za vichekesho..
 
Kwa niaba ya Numbisa , napenda kutoa shukrani sana kwa upendo wako kwetu.
 
1. Mayassa aka mama gaude
2. Bebeku - mshenga wangu huyu
3. PAW- jitu la kale lenye midevuuu
 
Aah aaah we usiotajwa katika huu uzi jitafakari upo humu kwa faida gani..... je hakuna wanaofaidika na uwepo wako....

Na km weww ni kunyonya tu.... basi jiulize kwa nini usinyonywe.... hauna maziwa au nin?

Tafakari chukua hatua.
 


Kama unamuhusudu mtu mwehu kama madam lemutuz basi uko njiani kufuata nyendo zake
 
Mimi Yule mpiga Ban ndio namkubali peke yake! Bila nidhamu humu ninge-sepa zamani sana aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…