Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

tuheshimiane mi sio dogo
 
Nawakubali hawa washkaji zangu

1)Iceman 3D

2)Super market

3)Isho boy

4)Msaga Sumu

5)Raimundo
Bila kusahau na warembo kama

1)Tya 02

2)Evelyn Salt

3)Irk


Bila kumsahau mpwa wangu Joanah
 
s
STROKE-huyu ni mtambo balaa
FAIZAFOX-huyu ni kichwa balaaa husasani mambo ya kulinda heshma ya dini
 
Sijawa mwenyeji kwenye hii familia Bali kwa mda nuliyo kaka humu kila mtu kwa comments zake humu ndani ziko poa.so kwangu wote wako vizuri na sijajuta kuwa mwanafamilia..hii
 

  1. Albert Daud Bashite... Huyu ana hoja zisizo za msingi sana na ni mkorofi mno.
  2. Daud Albert Bashite... Huyu anapenda mno mambo ya ngono ngono.
  3. Bashite Daud Albert... Huyu story zake nyingi ni za kufoji foji tu.
Hakika hao Jamaa Watatu hapo juu wananifanya nizidi tu kutiririka na JF mwanzo mwenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…