GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Gentamycine
Mohamed Said
Kikulachochako wapo wengi kwakuwa umesema watatu ni hao
Salute sana Mkuu. Kutajwa na Great Thinker wa JF siyo jambo la Ki spoti spoti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gentamycine
Mohamed Said
Kikulachochako wapo wengi kwakuwa umesema watatu ni hao
I love you witness [emoji8]
I heart you Vale [emoji8]
Nawapenda na kuwakubali wote wapendwa.
Shukraan [emoji120]
mkuu @edd_mhando kuna mzigo wa Queen monica vipi unasomaaliyeni vutia zaidi hadi ni mekuwa teja wa huu mtandao ni LEGE na dada angu mpenzi nameless girl kwa kuwa mimi ni mpenzi wa hadithi kwa kweli nilikuwa lazima niingie nisome mahadithi kutoka humu...hii imenifanya mmoja wa hao nilio wataja awe mtu wangu wa karibu nawasiriana nae japo si sana...
namkubari Heaven Sent ....
namkubari sana miss chagga na mshana jr pamoja na STUNTER wapo wengi wengine majina yao nashindwa kuyataja kutokana na ugumu wa kimatashi....
Zamaaaaaaaani.Kifungo cha Dear bado hakijaisha?
Zamaaaaaaaani.
Hahahaaaaaaa hubbie bae njoo huku pls The boldUmemfungia wapi? Tunammisi humu hasa sisi tunaopenda taarifa zake za Kiudukuzi na za Kijasusi ambazo hutufanya sisi Mangumbaru ( tusio na maarifa na upeo wowote ) tuliotukuka Kuelimika na kuyafahamu makubwa sana ambayo mwenzetu ( Mumeo ) amebarikiwa nayo.
Gimme five ma nigga.... You the bestMy List
Kwa washkaji zangu ni
lee empire
Daby
@werason
Transcend
Iceman 3D
STUNTER
Obe
Raimundo
@Musolini5
And all kapukuz
Kwa madada
joanah
Numbisa
miss charming
Shunie
BlessedHope
Clkey
And all kapukuz
Hao ni baadhi ya members ambao wapo na mm tangia najiunga hapa dec 1, shukran za pekee ziwaeendee brothers wa kapuku forum.
Samahan mkuu. Naomba kirefu cha BTW
Duh we jamaa katili kichizi ,umewachinjia baharini wenzako hivi hivi,wenyewe wamejikakamua kukusifia halafu wewe unawakataa kweupeee
By The WaySamahan mkuu. Naomba kirefu cha BTW
Duuuu nimeamini kusoma sana sio kufaham yoteBy The Way