Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

aliyeni vutia zaidi hadi ni mekuwa teja wa huu mtandao ni LEGE na dada angu mpenzi nameless girl kwa kuwa mimi ni mpenzi wa hadithi kwa kweli nilikuwa lazima niingie nisome mahadithi kutoka humu...hii imenifanya mmoja wa hao nilio wataja awe mtu wangu wa karibu nawasiriana nae japo si sana...
namkubari Heaven Sent ....
namkubari sana miss chagga na mshana jr pamoja na STUNTER wapo wengi wengine majina yao nashindwa kuyataja kutokana na ugumu wa kimatashi....
Salute Hommie Eddy
 
the bold ukisoma makala zake nawe unakuwa kama I met oka univesty. jamaa anatumia elimu yake jwa faida ya umma. Mungu ampe maisha marefu sana
 
Back
Top Bottom