STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Huyo jamaa nlomtaja watu wamemsahau tu, lakini sidhani kama bila yeye tungekuwemo humu... Lazima tumthaminiDuh we jamaa katili kichizi ,umewachinjia baharini wenzako hivi hivi,wenyewe wamejikakamua kukusifia halafu wewe unawakataa kweupeee
Big up Maxence Melo