Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
HahahaaaaaSijui nimtaje nani ni mwache nani aiseee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaaaaaSijui nimtaje nani ni mwache nani aiseee
Amepoteza booonge la bahati
Muache apige teke bakuli la dhahabu anahangaika na michanga huko!! Akifunguka akili itakuwa too late!!Teh teh,eti bahati.
Muacheapige teke bakuli la dhahabu anahangaika na michangahuko!! Akifunguka akili itakuwa too late!!
Mkuu nalea sahv wife alijifungua kababy girl ndo mana nakuwa adimu kimtindo tupo pamoja naona mtaa wa 6 hautaki kutuachiaBos nakukubali ila
Umekuwa invicible huonekani [emoji1]
Asee hongera sanaaMkuu nalea sahv wife alijifungua kababy girl ndo mana nakuwa adimu kimtindo tupo pamoja naona mtaa wa 6 hautaki kutuachia
Kaka yangu tena nikupambe uongo!! Wakati hadi namuonea wivu wifi yangu!!Mhhh, wewe bwana dada unanipamba ujinga.
Hahahaahaaa Mungu anakuona ujue
Kaka yangu tena nikupambe uongo!! Wakati hadi namuonea wivu wifi yangu!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Aisee, hata mimi namuonea wivu shemeji yangu.
Wapo humu?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Na kwa siku ungesali makanisa 4 tofautiHahahaa
Ningeenda KKKT kimara jumapili inayo fuata kumwaga chozi, kama bashite
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Na kwa siku ungesali makanisa 4 tofauti
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Na kwa siku ungesali makanisa 4 tofauti
Hujakosea Dina, majukumu yamekuwa mengi hadi natamani niyagawe aiseeMambo poaa,,tunakumisss ,majukumu yamezidii ndio maana unapotea?