Tajamakabila lenye wasomi wengi tanzania !

Endeleeni kutoa michango yenu thabiti juu ya mustakabali wa elimu yetu ya tanzania
 
wana jf hebu nisaidieni kwenye hili je ni kabila gan linaloongoza kuwa na wasomi weng tz pls uclete bayaznes

Yale yale ya kozi zipi zinapendelewa na wasichana!
This is too low for JF, Dogo.
 
Ni sisi WAHADZABE.....Kweli JF imeingiliwa hadi upumbavu kama huu unaruhusiwa hapa!
Nadhani Mods wa Jukwaa hili ni dhaifu na incompetent kama Spika Makinda na
Naibu wake Ndugai.
 
no comment 'cause sijatafiti, sina haki ya kusemea hili!
 
Wakwere!!! Mwanaasha alipata division one point 7!! Sasa yuko Form V anategemea kupata div One point 3 na university First class kama Mwigulu Nchemba!!! Sidhani kama kuna kabila lingine lenye akili au tusema IQ kubwa kama hili.
 
wana jf hebu nisaidieni kwenye hili je ni kabila gan linaloongoza kuwa na wasomi weng tz pls uclete bayaznes

Yani wewe umejaza ma-thread yako mengi hapa jukwaa la elimu halafu yote ni uharo.
 
Ndugu yangu cjawahi kuona kipengele cha Kabila/Tribe kwenye fomu za kuomba vyuo.Kama kingekuwepo basi ungepata takwimu yako haraka sana. Hilo halina maana ndio maana halipo.

Huwezi kupata Takwimu ya namna hiyo ndugu.

Dont entertain these staffz u wont perfom with these type of behaviours.
 
kwa ubora WAKEREWE wana ma PROFESA wengi kuliko kabila lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…