Tajamakabila lenye wasomi wengi tanzania !

Tajamakabila lenye wasomi wengi tanzania !

uyu mpga msuli,ni 4m6 yan msumbufu! Mpotezeen threads zake
 
markj ****,mpuuz,kanyonye mwenyewe ,acha mambo ya ki....
 
MFYU,yan utaangaika na kidigrii chako mpaka ukauze madafu ,huna mishe kilaza wewe
 
MATUMBO,acha ushaabiki wa kifalafalawee kama huna jibu kaa kimya!
 
ndg mim huwa cpendi kejeli ndo maana natoa majibu makali
 
ndg mim huwa cpendi kejeli ndo maana natoa majibu makali

Hili jukwaa la elimu nimepoteza hadhi kabisa kwa sababu ya watu kama wewe mpigamsuli, kulikua na watu kama kina Narubongo, Nguchiro na wengine wengi wenye kutoa mawazo endelevu lakini naona baadhi ya form 4/6 leavers mnaparamia majukwaa kwa kukosa tempo zakufanya huko nyumbani... Kama ukikosa cha kuandika ingia kwenye blogs nyingine upoteze mda huko... kila nikifikiria kuingia kwenye hili jukwaa naona bora niingie kwenye jokes au MMU tu!! mpigamsuli kufaulu kama umefaulu si kwamba ndo unajua kila kitu, huku kuna hao walimu wako!
 
Back
Top Bottom