Wewe mwenyeweWaziri wa afya akisema afya ya akili mnajifanya hamuoni tatizo, Madhara yake ndio haya sasa shabiki mwandamizi na Simba lialia toka jana karukwa na akili.
Shabiki huyo kindakindaki mambo yamenwendea kombo baada ya kila kitu kugonga mwamba. Shabiki huyo mwenye kutokea kanda ya ziwa ambae watani zake wanatokea mikoa ifuatayo Mara, Mwanza, Kigoma, Kagera, Singida, Dodoma hasa Kondoa, akili zimefyatuka bila kujijua.
Waliomuona hasa watani zake wanehamaki maana ameanza kutembea akijisema kama mwehu kabisa.
Mtajeni ili apate msaada.
Yaani unaanzisha Mada kwa ID ya Arovera halafu ili Kuunogesha Uzi na kutimiza azma yako ya kutaka nijadiliwe unakuja kukomenti na hii ID yako ya kakamkubwa ukidhani Mimi ni Mpumbavu kama Wewe na kwamba sitokujua au hata Kukushtukia.GENTAMYCINE mtani wako amekuita huku.
Nami bado nauliza je, baada ya Yanga SC Kufuzu Makundi ya CAFCC tuendelee kuliita hili ni Kombe la Walioshindwa ( Losers ) au?Karibia mashabiki wote walirukwa na akili! Na hasa baada ya mpira wa Yanga kumalizika.
Mpaka muda huu, baadhi yao wapo kwenye basi wakielekea Dodoma kupokea dawa zao pale Mirembe.
Ahmed AllyWaziri wa afya akisema afya ya akili mnajifanya hamuoni tatizo, Madhara yake ndio haya sasa shabiki mwandamizi na Simba lialia toka jana karukwa na akili.
Shabiki huyo kindakindaki mambo yamenwendea kombo baada ya kila kitu kugonga mwamba. Shabiki huyo mwenye kutokea kanda ya ziwa ambae watani zake wanatokea mikoa ifuatayo Mara, Mwanza, Kigoma, Kagera, Singida, Dodoma hasa Kondoa, akili zimefyatuka bila kujijua.
Waliomuona hasa watani zake wanehamaki maana ameanza kutembea akijisema kama mwehu kabisa.
Mtajeni ili apate msaada.
Hapa umefail brother tokea mwaka 2013 nipo hapa jf sijawahi kuwa na account nyingine tofauti na hii ya kakamkubwaYaani unaanzisha Mada kwa ID ya Arovera halafu ili Kuunogesha Uzi na kutimiza azma yako ya kutaka nijadiliwe unakuja kukomenti na hii ID yako ya kakamkubwa ukidhani Mimi ni Mpumbavu kama Wewe na kwamba sitokujua au hata Kukushtukia.
You can't Fool me around I'm Smarter than you okay?Hapa umefail brother tokea mwaka 2013 nipo hapa jf sijawahi kuwa na account nyingine tofauti na hii ya kakamkubwa
Hapa umefail brother tokea mwaka 2013 nipo hapa jf sijawahi kuwa na account nyingine tofauti na hii ya kakamkubwa
I'm glad to see Partners in Foolishness ( Arovera and kakamkubwa ) supporting each like this. Very interesting.....!!!!!Kweli hata kufananisha miandiko hawezi,
Rubbish.Toka 2006 Jambo forum wakongwe tupo, 2008 jina lkabadilishwa kua jamiiforums tupo, tushakua na akaunt za majina yetu tukaziacha kabisa miaka hiyo lakini tupo tupo tu
Genta.Waziri wa afya akisema afya ya akili mnajifanya hamuoni tatizo, Madhara yake ndio haya sasa shabiki mwandamizi na Simba lialia toka jana karukwa na akili.
Shabiki huyo kindakindaki mambo yamenwendea kombo baada ya kila kitu kugonga mwamba. Shabiki huyo mwenye kutokea kanda ya ziwa ambae watani zake wanatokea mikoa ifuatayo Mara, Mwanza, Kigoma, Kagera, Singida, Dodoma hasa Kondoa, akili zimefyatuka bila kujijua.
Waliomuona hasa watani zake wanehamaki maana ameanza kutembea akijisema kama mwehu kabisa.
Mtajeni ili apate msaada.
We pekee ndo mwanasimba mwenye akili kidogo maana wote walikua wananikera na neno looser badala ya loser...[emoji16]Nami bado nauliza je, baada ya Yanga SC Kufuzu Makundi ya CAFCC tuendelee kuliita hili ni Kombe la Walioshindwa ( Losers ) au?