Tajeni Shabiki Wa Simba Mmoja Alierukwa na Akili toka jana ili asaidiwe

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Waziri wa afya akisema afya ya akili mnajifanya hamuoni tatizo, Madhara yake ndio haya sasa shabiki mwandamizi na Simba lialia toka jana karukwa na akili.

Shabiki huyo kindakindaki mambo yamenwendea kombo baada ya kila kitu kugonga mwamba. Shabiki huyo mwenye kutokea kanda ya ziwa ambae watani zake wanatokea mikoa ifuatayo Mara, Mwanza, Kigoma, Kagera, Singida, Dodoma hasa Kondoa, akili zimefyatuka bila kujijua.

Waliomuona hasa watani zake wanehamaki maana ameanza kutembea akijisema kama mwehu kabisa.

Mtajeni ili apate msaada.
 
Wewe mwenyewe
 
Karibia mashabiki wote walirukwa na akili! Na hasa baada ya mpira wa Yanga kumalizika.

Mpaka muda huu, baadhi yao wapo kwenye basi wakielekea Dodoma kupokea dawa zao pale Mirembe.
Nami bado nauliza je, baada ya Yanga SC Kufuzu Makundi ya CAFCC tuendelee kuliita hili ni Kombe la Walioshindwa ( Losers ) au?
 
Waziri wa afya akisema afya ya akili mnajifanya hamuoni tatizo, Madhara yake ndio haya sasa shabiki mwandamizi na Simba lialia toka jana karukwa na akili.

Shabiki huyo kindakindaki mambo yamenwendea kombo baada ya kila kitu kugonga mwamba. Shabiki huyo mwenye kutokea kanda ya ziwa ambae watani zake wanatokea mikoa ifuatayo Mara, Mwanza, Kigoma, Kagera, Singida, Dodoma hasa Kondoa, akili zimefyatuka bila kujijua.

Waliomuona hasa watani zake wanehamaki maana ameanza kutembea akijisema kama mwehu kabisa.

Mtajeni ili apate msaada.
Ahmed Ally
 
Yaani unaanzisha Mada kwa ID ya Arovera halafu ili Kuunogesha Uzi na kutimiza azma yako ya kutaka nijadiliwe unakuja kukomenti na hii ID yako ya kakamkubwa ukidhani Mimi ni Mpumbavu kama Wewe na kwamba sitokujua au hata Kukushtukia.
Hapa umefail brother tokea mwaka 2013 nipo hapa jf sijawahi kuwa na account nyingine tofauti na hii ya kakamkubwa
 
Toka 2006 Jambo forum wakongwe tupo, 2008 jina lkabadilishwa kua jamiiforums tupo, tushakua na akaunt za majina yetu tukaziacha kabisa miaka hiyo lakini tupo tupo tu
 
Waziri wa afya akisema afya ya akili mnajifanya hamuoni tatizo, Madhara yake ndio haya sasa shabiki mwandamizi na Simba lialia toka jana karukwa na akili.

Shabiki huyo kindakindaki mambo yamenwendea kombo baada ya kila kitu kugonga mwamba. Shabiki huyo mwenye kutokea kanda ya ziwa ambae watani zake wanatokea mikoa ifuatayo Mara, Mwanza, Kigoma, Kagera, Singida, Dodoma hasa Kondoa, akili zimefyatuka bila kujijua.

Waliomuona hasa watani zake wanehamaki maana ameanza kutembea akijisema kama mwehu kabisa.

Mtajeni ili apate msaada.
Genta.
 
Wakati wa Usajili Mo Alijitoa.....

Simba Haina wachezaji ndio maana ilihusishwa na wachezaji zaidi ya kumi na ikaishia kuwakosa wooote.

1.Bambala.
2. MANZOKI.
3.Bobosi.
4.Azizi K
5.Adebayor
6
Orodha ni Ndefu sanaaaaa!

WACHEZAJI MIZIGO.
Banda. .................... .Boko
Sackho. ................... .Nyoni.
Okwa. ............... ...Gadiel.
Dejan. ....................... Mwenda.
Kanute. ......................... Kyombo.
(Akpan)
Onyango.
 
Nami bado nauliza je, baada ya Yanga SC Kufuzu Makundi ya CAFCC tuendelee kuliita hili ni Kombe la Walioshindwa ( Losers ) au?
We pekee ndo mwanasimba mwenye akili kidogo maana wote walikua wananikera na neno looser badala ya loser...[emoji16]
 
Yaani mtu arukwe na akili kisa mmeingia makundi ya shirikisho mkuu???uko siriazi kweli??...nadhani sasa mmekubali kuwa kimataifa huwa tunacheza kwa kujitoa sionmna relax kama mko kwenu
 
Back
Top Bottom