C-C Digital Pro
JF-Expert Member
- Mar 15, 2026
- 361
- 532
For Promo only.
View: https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=WFtATkgwuApVX0J3
Taji Liundi ndio binadamu wa kwanza Tanzania kumpigania Civilian-Coin zamani alijiita "Masqo" baadae "Don NALIMISON" na Sasa "CIVILIAN-COIN( Civilian-Coin Nalimi Kisandu). Mwaka 2004 Civilian-Coin alirekodi wimbo "Usiunyanyapae moyo wangu" katika. Studio za Sei record na prodyuza Seiblast kinondoni. Studio na kufanya video shooting ya wimbo huo katika studio za Crue Production kariakoo Chini ya mtayarushaji Adam kwa udhamini wa kampuni ya usambazaji ya Japantech. Audio ilichezwa Sana Tbcfm na Djaro Alungu kwa msaada wa Japantech na video ilichezwa Sana C2C tv iliyokuwa Chini ya Taji Liundi. Taji alimpa. Moyo Civilian-Coin(zamani Masqo) na walifanya hivyo kweli. Pia Dj Niko Track aliinua audio pale Times fm. Kwa msaada wa Bwana Taji Liundi ambaye pia alikuwa mtangazaji wa radio hiyo. Hata hivyo Civilian-Coin alitoa albam ya kwanza mwaka 2004 ikiitwa "Usiunyanyapae moyo wangu" kwa jina lazamani la kisanii(Masqo). Je, Leo ni Civilian-Coin ana ghani kwa kiingereza na je Taji Liundi atashindwa kumuokoa Msanii wake aliyekuja uupya.
View: https://youtu.be/SkLvVyZveTI?si=2Dc3VyKIzA-FxBPL
SABABU YA KUBADILI MAJINA NA KUWA CIVILIAN-COIN.
SABABU kuu ni kukua kifikira na mabdaliko ya kifalsafa. Civilian-Coin ameachana na KAZI za Serikali tangu mwaka2020 baada ya kufungwa na kupoteza sifa ya kuwa mtumishi wa umma japo amenyimwa. Haki zake zote yakiwemo mafao yake yote aliyoitumikia.nchi Kama mwalimi wa SERIKALI. Kitendo Cha kuacha KAZI na kuwa raia wa kawaida(Civilian) na kuamua kujikita katika biashara kutafuta Pesa(Coin). Ndio ikazaliwa
Civilian-Coin. Hivyo Civilian-Coin immeondoa majina ya awali ikiwemk jina la ubatizo(Deogratius) majina ya awali ya kisanii(Msqo na Don NALIMISON). Sasa Civilian-Coin ni kiumbe kipya na mahakama inamtambua hivyo baada ya kula kiapo Mahakamani na kuwa CIVILIAN-COIN NALIMI KISANDU. Civilian-Coin inasonga MBELE maisha na Sasa amekamilisha albam yake yenye nyimbo 15 ikiitwa "Home boy". na Ngoma kibao. Nyimbo ambazo ziko kwenye promotion ni Who am l? Na home boy. Pia kwa Sasa amejikita zaidi katika tasnia yake ya habari na Sanaa tu na amejitenga na Siasa baada ya kupoteza sifa za kugombea cheo chochote Cha kisiasa. Tatizo Kuna matapeli ya kike na ya kiume ambayo yamekabiziwa Pesa za mauzo ya albam za nyumba ikiwemk Antibiotic wameuza na kukaa na HIZO PESA wakitumia mgogongo wa uaskari ili asiwahoji na hakuna wakutoa msaada kuokoa Pesa HIZO. Aidha Civilian-Coin hajihusishi na maswala ya Dini yoyote ile na Hana mpango na Imani zaidi ni Mpagani original., kwa Sasa yupo nyumbani kwa mama yake mzazi wilayani Kahama(Shinyanga) akiendelea na Sanaa, habari na shughuli za ujenzi ambazo ndio zinampa kidogo Cha kujiinua kisanaa japo hakitoshi.. Taji Liundi Karibu.