Tajiri mmoja Maarufu anashiriki kudhamini kundi la kupinga Mo Dewj asipewe Simba

Tajiri mmoja Maarufu anashiriki kudhamini kundi la kupinga Mo Dewj asipewe Simba

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Tajiri huyu kwa kuepuka na kuogopa ushindan anashirikiana na baadhi ya wanachama na viongoz wa Simba wasio waaminifu kwa kuwalipa pesa kiasi cha kuanzia 100,000- 200,000. Wampinge Mo Dewj ili Simba iendelee kusota kwa miaka ming ijayo wakiifanyia hujuma n.k

Hayo yamethibitishwa na baadh ya wanachama ambao wamechukua pesa na bado wanasema wanataka Mo Apewe Simba.

Ntawaletea habari zaidi.
 
Ivii Hii Ulotuletea ni Habari au Umbea tuu?Mpaka Useme Utatuletea Habari Zaidi
 
Nawaona makomandoo mnavyopata shida. Sasa anzeni kufanya kazi acheni kutegemea kuiibia club ili muishi.
 
Mwanachama wa Simba mwenye kadi unafaidika nini na club yako ya Simba.Mwanahisa wa club ya Simba unafaidika vipi na club ambayo wewe ni mmoka wa wamiliki kwa hisa zako....????Mashabiki wa club ya Simba nao wanafaidika vipi na club yao....?
 
Mode futa huu uzi hauna chanzo na una dalili za uchochezi
 
atakuwa NI yule KANJIBAI wa coco beach shenzy zake!
 
Back
Top Bottom