Mi nadhan muhimu ni kuridhika na Hali yako, ndo utaish Kwa raha
Madem pia ktk list? Vp kwa wanawakeUsifanye mchezo na peace of mind unayokua nayo pale
1.unapotaka kwenda kokote unaweza
2.kula chochote
3.madem wakal unaotaka unapata
4.chochote unataka unanunua etc etc etc
Muulize diamond hil swal,..we huon had anangaa skuhiz,unafanya mchezo na utajir,...we jidanganye tuu
Si kila ndoto huwa kweli, hakuna asietamani kumiliki nyumba yake, au Mali zake, hii ni kutokana tunapanga na mungu nae anapanga.Utapataje maendeleo kama unaridhika na hali yako?
Kwa mfano unaishi katika nyumba ya kupanga; ukiridhika na hiyo hali utawaza lini kumiliki nyumba yako mwenyewe?!