Tajiri na mbuzi....!

Tajiri na mbuzi....!

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Posts
2,475
Reaction score
745
Tajiri kanunua mbuzi akamwambia mpishi; "Nyama nusu ipike pilau na nyingine itie kwenye friza. Kichwa fanya supu na miguu fanya mchuzi chukuchuku. Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pika na ndizi na mifupa tutawauzia wenye mbwa!" Mpishi akamuliza: "Hutaki na sauti ya mbuzi tukichinja tufanye ring tone kwenye simu yako?"
 
Back
Top Bottom