Tajiri nimeamka, masikini bado mmelala

Juice world

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
1,982
Reaction score
2,706
Aisee nyie masikini mnapata nguvu ya kulala mpaka sasa hivi wakati tajiri nimeamka embu amkeni mkatafute hela nyie masikini.

Nimeshasema wanawake msiwapende hawa wanaume masikini sababu hawana haki ya KUPENDWA.

Tajiri nimeshaongea Mimi Kila siku naacha Kodi ya meza million 2 Kwa mke wangu mmoja na nina wananwake wa 5 ambayo nyie masikini hamjawahi kuishika hii ni pesa ya matumizi Kwa siku tu.
 
Alaf yy anamvizia mkeo mnapshana kwaiyo tuwape heshma kwa kuwafksha wake zetu klelen mkeo waweza kla ktu ukamwachia ila 🤣🤣🤣 aiseee wanawake kumbe iyo yote aliacha kwa baba yake kaz n pale 👄👄
 
Alaf yy anamvizia mkeo mnapshana kwaiyo tuwape heshma kwa kuwafksha wake zetu klelen mkeo waweza kla ktu ukamwachia ila 🤣🤣🤣 aiseee wanawake kumbe iyo yote aliacha kwa baba yake kaz n pale 👄👄
Ninakula sana wake zenu masikini tatizo kubwa wanalalamika ni pesa aisee poleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…