Kiungopunda
JF-Expert Member
- Oct 24, 2023
- 1,349
- 3,145
Walishakata kidole kimoja na jino moja, bado ulimi tu.Tajiri na hizo hela zako mpk wakukate ulimi ushindwe kuongea ndo utajua hujui.
Aisee nyie masikini mnapata nguvu ya kulala mpaka sasa hivi wakati tajiri nimeamka embu amkeni mkatafute hela nyie masikini.
Nimeshasema wanawake msiwapende hawa wanaume masikini sababu hawana haki ya KUPENDWA.
Tajiri nimeshaongea Mimi Kila siku naacha Kodi ya meza million 2 Kwa mke wangu mmoja na nina wananwake wa 5 ambayo nyie masikini hamjawahi kuishika hii ni pesa ya matumizi Kwa siku tu.
Bet ilimtoa sasa anafujo hatariTajiri na hizo hela zako mpk wakukate ulimi ushindwe kuongea ndo utajua hujui.
Tafuta hela masikini weweKachelewa kujiunga JF. Sisi JF tajiri yetu ni mmoja tu ambaye ni @Kidukulilo .
Huyu anatafuta umaarufu humu JF nampa wiki tu, kwisha habari yake atakuwa sawa na Mpwayungu Village tu.
Hakuna atakayemfuatilia japo hata sasa hatumfuatilii.
πTafuta hela masikini wewe
Tafuta hela masikini weweπ
Toka maghetoniKuna mchongo nausikilizia tajiri. Nipe connection ya kupiga pesa basi
Acha shobo, utatapeliwa wewe. Hana utajiri wowote. Hakuna tajiri mwenye kelele duniani.Mwamba Chief Godlove uko vizuri utafika mbali
πTafuta hela masikini wewe
ππππSafari hii Tajiri Tunae
wewe huna hela hela na huna akili pia, na hujui huna akili maana kujua huna akili inahitaji akili pia, then kwako ni taflaniAisee nyie masikini mnapata nguvu ya kulala mpaka sasa hivi wakati tajiri nimeamka embu amkeni mkatafute hela nyie masikini.
Nimeshasema wanawake msiwapende hawa wanaume masikini sababu hawana haki ya KUPENDWA.
Tajiri nimeshaongea Mimi Kila siku naacha Kodi ya meza million 2 Kwa mke wangu mmoja na nina wananwake wa 5 ambayo nyie masikini hamjawahi kuishika hii ni pesa ya matumizi Kwa siku tu.
Tafuta hela gazeti lote la nini hili we masikini silisomiwewe huna hela hela na huna akili pia, na hujui huna akili maana kujua huna akili inahitaji akili pia, then kwako ni taflani
wenzako tunatumikisha hela, ili zilete nyezake sasa wewe unafanya kazi ili upate pesa ndio maana unaamka mapema,
na hujijui kuwa una elements za umakisn naturally
Tafuta helaWaafrika bhana π
View attachment 3097107
Me natafuta Madini (aina ya Ruby) ili nipate pesa.Tafuta hela masikini wewe
Tafuta hela masikini weweMe natafuta Madini (aina ya Ruby) ili nipate pesa.
Wiki iliopita nilipata point 5 ya Ruby nikaiuza 200k miticais, sawa na milioni 8 shilingi ya tanzania na sikuweka matangazo wala nini, ndio kwanza najindaa kwenda kuponchi tena leo.
Tatizo munaoishi kwa hisani ya dada zenu, mukipewa laki moja tu na shemeji zenu tayari munajiita matajiri.
Tajiri utakuwa wewe bhanaa!
Mke utamtoa wapi we marinda huna ushavuliwa ubingwa.Aisee nyie masikini mnapata nguvu ya kulala mpaka sasa hivi wakati tajiri nimeamka embu amkeni mkatafute hela nyie masikini.