Tajiri nimeamka, masikini bado mmelala

Tajiri nimeamka, masikini bado mmelala

Aisee nyie masikini mnapata nguvu ya kulala mpaka sasa hivi wakati tajiri nimeamka embu amkeni mkatafute hela nyie masikini.

Nimeshasema wanawake msiwapende hawa wanaume masikini sababu hawana haki ya KUPENDWA.

Tajiri nimeshaongea Mimi Kila siku naacha Kodi ya meza million 2 Kwa mke wangu mmoja na nina wananwake wa 5 ambayo nyie masikini hamjawahi kuishika hii ni pesa ya matumizi Kwa siku tu.
 
Attachments

  • IMG_20240824_065438.jpg
    IMG_20240824_065438.jpg
    89.4 KB · Views: 3
Mwamba Chief Godlove uko vizuri utafika mbali
Acha shobo, utatapeliwa wewe. Hana utajiri wowote. Hakuna tajiri mwenye kelele duniani.

Huyo ni kapuku mwenzako tu sema anawaseti wapuuzi kama nyie muingie king awapige kama yule jamaa wa Vanila Village, kama Kalyanda au mr. Kuku.

Kaona fursa ya wajinga kama nyie JF na atawaliza muda si mrefu kama yule jamaa wa Bitcoin na Qnet alivyowapiga.
 
Aisee nyie masikini mnapata nguvu ya kulala mpaka sasa hivi wakati tajiri nimeamka embu amkeni mkatafute hela nyie masikini.

Nimeshasema wanawake msiwapende hawa wanaume masikini sababu hawana haki ya KUPENDWA.

Tajiri nimeshaongea Mimi Kila siku naacha Kodi ya meza million 2 Kwa mke wangu mmoja na nina wananwake wa 5 ambayo nyie masikini hamjawahi kuishika hii ni pesa ya matumizi Kwa siku tu.
wewe huna hela hela na huna akili pia, na hujui huna akili maana kujua huna akili inahitaji akili pia, then kwako ni taflani

wenzako tunatumikisha hela, ili zilete nyezake sasa wewe unafanya kazi ili upate pesa ndio maana unaamka mapema,
na hujijui kuwa una elements za umakisn naturally
 
Tafuta hela gazeti lote la nini hili we masikini silisomi
 
Tafuta hela masikini wewe
Me natafuta Madini (aina ya Ruby) ili nipate pesa.
Wiki iliopita nilipata point 5 ya Ruby nikaiuza 200k miticais, sawa na milioni 8 shilingi ya tanzania na sikuweka matangazo wala nini, ndio kwanza najindaa kwenda kuponchi tena leo.
Tatizo munaoishi kwa hisani ya dada zenu, mukipewa laki moja tu na shemeji zenu tayari munajiita matajiri.
Tajiri utakuwa wewe bhanaa!
 
Me natafuta Madini (aina ya Ruby) ili nipate pesa.
Wiki iliopita nilipata point 5 ya Ruby nikaiuza 200k miticais, sawa na milioni 8 shilingi ya tanzania na sikuweka matangazo wala nini, ndio kwanza najindaa kwenda kuponchi tena leo.
Tatizo munaoishi kwa hisani ya dada zenu, mukipewa laki moja tu na shemeji zenu tayari munajiita matajiri.
Tajiri utakuwa wewe bhanaa!
Tafuta hela masikini wewe
 
Aisee nyie masikini mnapata nguvu ya kulala mpaka sasa hivi wakati tajiri nimeamka embu amkeni mkatafute hela nyie masikini.

Nimeshasema wanawake msiwapende hawa wanaume masikini sababu hawana haki ya KUPENDWA.

Tajiri nimeshaongea Mimi Kila siku naacha Kodi ya meza million 2 Kwa mke wangu mmoja na nina wananwake wa 5 ambayo nyie masikini hamjawahi kuishika hii ni pesa ya matumizi Kwa siku tu.
Mke utamtoa wapi we marinda huna ushavuliwa ubingwa.
 
Back
Top Bottom