Tajiri nimeamka, masikini bado mmelala

Tuache na umasikini wetu wenyewe tumeridhika! Watu wengine tukiwa matajiri tutawatesa wake zetu. Upendo huu wa kimasikini ndio usalama wetu.
 
We si juzi tu ulikua unatikisa kalio kwenye garage ya said lugumi
 
Huyu sass anajua matumizi ya hela.
Safi sana kidu.e ukiwa na hela unatakiea muwa na wake wengi ata kumi kama hela inaruhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…