Tajiri nimeamka, masikini bado mmelala

Tajiri nimeamka, masikini bado mmelala

🤣🤣🤣 mwanamke ata upe mbingu ataliwa na ss waendasha mikokoten na kod ya meza n 5000 mpaka 10000 na maisha inasonga ila kumbuka hapo chn atupshan tunaoza wote
Tafuta hela masikini wewe acha kujifariji umasikini hauna tuzo
 
Aisee nyie masikini mnapata nguvu ya kulala mpaka Sasa hivi wakati tajiri nimeamka embu amkeni mkatafute hela nyie masikini nimeshasema wanawake msiwapende Hawa wanaume masikini sababu hawana haki ya KUPENDWA tajiri nimeshaongea Mimi Kila siku naacha Kodi ya meza million 2 Kwa mke wangu mmoja ambayo nyie masikini hamjawahi kuishika hii ni pesa ya matumizi Kwa siku tu
Tafuta hela dogo acha kushobokea brand za wanaume wenzako. Utapakatw*
 
Aisee nyie masikini mnapata nguvu ya kulala mpaka Sasa hivi wakati tajiri nimeamka embu amkeni mkatafute hela nyie masikini nimeshasema wanawake msiwapende Hawa wanaume masikini sababu hawana haki ya KUPENDWA tajiri nimeshaongea Mimi Kila siku naacha Kodi ya meza million 2 Kwa mke wangu mmoja ambayo nyie masikini hamjawahi kuishika hii ni pesa ya matumizi Kwa siku tu
Utoto raha sana.
Umeamshwa na shemeji yako ufagie uwanja wa nyumba yake, unakimbilia kitecno chako nakuanza kupost upuuzi.
Hongera lakini, maana kila kitu kinaanzia ndotoni, kaza kamba ipo siku utazifika lavel zetu wakurungwa.
 
Tafuta hela masikini wewe acha kulialia hapa
 
Back
Top Bottom