Tajiri Rostam kakatazwa asiongee. Je, Polepole anaelekea kushinda hili game!?

Tajiri Rostam kakatazwa asiongee. Je, Polepole anaelekea kushinda hili game!?

Labda ametonywa kwamba kompromat ambazo Polepole bado hajaziachilia ni hatari zaidi. Kwahiyo afadhali akae kimya kuliko kumtia hasira zaidi.
Huo ndio ukweli wenyewe.

Polepole amerusha baruti na fataki tu.

RA alikurupuka kumjibu HP mapema sana.

Tokea awali alikuwa anaongea kuhusu wahuni na wanamtandao bila kutaja.
 
Polepole anajambo Leo jumamatano rostam angeongea lolote pangechangamka sana
 
HIi ni ligi ya mchangani haina mshindi. Ila ukweli tutausikia.
 
Kurusha jiwe kwenye mzinga wa nyuki tena upo kifuani wazi ni kujitafutia matatizo
 
Back
Top Bottom