Clayton Paul
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 2,284
- 4,858
πππππππView attachment 3284009Emanuel Macron
" Tunahitaji kuimarisha urafiki na ushirikiano wetu na Captain Ibrahim Traore wa Burkina Bee huku tukiendelea kumshawishi Ufaransa kujenga Kambi zetu za Kijeshi nchini kwake"
Ibrahim Traore
" Umekuwa na marafiki wengi Ulaya Kama Canada,USA, Ujerumani, Uingereza tuoneshe ni wapi katika nchi hizo ulijenga Kambi zenu ? "
Mtu anaekusema wewe ni maskini ila ukimfukuza hataki kuondoka huyo ndio maskini ?
Imegundulika wazungu wenye akili ni wachache sana ,wengi vilaza tu.Mna uhakika huyu jamaa ni mwafrika mwenzetu? Usikute huyu jamaa ni mzungu sie ndio hatujui
YaaniImegundulika wazungu wenye akili ni wachache sana ,wengi vilaza tu.
Hata Sasa hivi bado tunajiuliza hivi waliwezaje kututawala?
Huyu ni ngumu coz ndani hana maadui wengi na waliopo anawamuduMsenge anawanyoosha huyu,ila asiingie kwa mitego yao buree.
Adui anazaliwa muda wowote,hawa watu ni wabaya sana trust me.Huyu ni ngumu coz ndani hana maadui wengi na waliopo anawamudu
Ufaransa ni kirusi. Makoloni yake anaynyonya kama kupeView attachment 3284009Emanuel Macron
" Tunahitaji kuimarisha urafiki na ushirikiano wetu na Captain Ibrahim Traore wa Burkina Bee huku tukiendelea kumshawishi Ufaransa kujenga Kambi zetu za Kijeshi nchini kwake"
Ibrahim Traore
" Umekuwa na marafiki wengi Ulaya Kama Canada,USA, Ujerumani, Uingereza tuoneshe ni wapi katika nchi hizo ulijenga Kambi zenu ? "
Mtu anaekusema wewe ni maskini ila ukimfukuza hataki kuondoka huyo ndio maskini ?
πππMna uhakika huyu jamaa ni mwafrika mwenzetu? Usikute huyu jamaa ni mzungu sie ndio hatujui
Mabeberu ni ya hovyo sana hayajawahi kufeli yanawezana yenyewe kwa yenyewe kama yanavyonyooshana huko Ukraine πΊπ¦Dogo nakubali but hatafika mbali . West Wana mbinu za kijasusi za ovyo sana kuhakikisha anguko la maadui zao
Wanamtafutia timing,na lazima watapindua gari kwa kutumia ngozi nyeusi yenye tamaa ya madarakaMsenge anawanyoosha huyu,ila asiingie kwa mitego yao buree.