KERO Tajiri wa gari za Loliondo kuwa serious na service ya gari zako

KERO Tajiri wa gari za Loliondo kuwa serious na service ya gari zako

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Doyi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2011
Posts
1,845
Reaction score
2,347
Abiria tunatoka kanda ya ziwa kuelekea Arusha na Moshi tumekwama hapa Shinyanga gari imekatika spring T646 EKS ya kutoka Tarime kwenda Moshi so tupo kwa mafundi wa kilocal wanachomelea hizo spring tangu saa nne na sasa ni saa tisa usiku.

Unaenda kuua jina la biashara yako uliojenga kwa muda mrefu, hizi spring zinaonesha zilikatika siku nyingi wazoefu wanasema, kuwa siriaz basi na biashara yako rekebisha kero hii
 
Sawa abiria. Nitafanyia kazi, ok?
Ila na wewe unaweza kuanzisha hii biashara kama unaiona ni rahisi
 
Abiria tunatoka kanda ya ziwa kuelekea arusha na moshi tumekwama hapa shinyanga gari imekatika spring T646 EKS ya kutoka tarime kwenda moshi so tupo kwa mafundi wa kilocal wanachomelea hizo spring tangu saa nne na sasa ni saa tisa usiku,unaenda kuuwa jina la biashara yako ulojenga kwa muda mrefu,hizi spring zinaonesha zilikatika siku nyingi wazoefu wanasema,kuwa siriaz basi na biashara yako rekebisha kero hii

Sawa abiria. Nitafanyia kazi, ok?
Ila na wewe unaweza kuanzisha hii biashara kama unaiona ni rahisi
Haya tajiri ushauri Nitaufanyia kazi
 
Back
Top Bottom