Tajiri wa kupindukia ameweka dau la kufa mtu iwapo Eliud, Mkenya atavunja rekodi yake mwenyewe

Tajiri wa kupindukia ameweka dau la kufa mtu iwapo Eliud, Mkenya atavunja rekodi yake mwenyewe

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Tajiri wa kule Ulaya, ameamua kugharamikia maandalizi yote ya Eliud Kipchoge ambaye ameahidi atakimbia mbio za masafa marefu aina ya marathon kwa muda wa chini ya masaa mawili, jambo ambalo halijawahi kutokea duniani, Kipchoge amesema lengo lake ni kudhihirisha hamna chochote ambacho hakiwezekani ukidhamiria, na kwamba pingamizi kwenye maisha yetu huwa kwenye akili zetu tu, ila mwili wa binadamu unaweza chochote.

Dunia yote inahesabu masiku na kusubiri kwa hamu na ghamu, akifaulu kufanikisha yaani itahamasisha mamilioni ya watu duniani. Hongera sana Kipchoge kwa kupeperusha bendera ya nchi hii, Mungu akutangulie.
--------------------------------------

zujmvfmbifynep95d95793ed2544.jpg

The wait is almost over.

It is nine days to go on the count of Ineos 1:59 challenge organisers. From North to South Pole, the world is on edge waiting for one man; Eliud Kipchoge.

The world marathon record holder (2:01:39) and Olympic champion over the distance has thrown down a challenge to humanity that no human is limited.

And to prove it, Kipchoge has invited the world to watch him attempt to run 42.195km in under two hours in Vienna, Austria -- a task he insists is only curtailed by mental barriers.

When he announced his intent to break the two-hour barrier on May 6 this year, Kipchoge told Associated Press: “I want to unlock that thought that there are limitations in the human being.”

He added: “There are no barriers when you believe in yourself and try and trust in what you are doing.”
For his unflinching self-belief and infinite possibilities available to humanity, Kipchoge instantly gained the trust of British multi-billionaire Jim Ratcliffe, founder of chemicals group INEOS.

The Briton, estimated by London-based Sunday Times Rich List to be worth $28 billion, immediately declared he was opening his purse to 34-year-old to unlock human potential.

Ratcliffe’s endorsement set in motion a flurry activities, ranging from identifying the race circuit, determining ideal weather conditions, Kipchoge’s training regime that includes running 200km per week just to get into tip-top shape.

The day of reckoning is October 12 with organisers setting an eight-day window (up to October 20) to pick the day when the weather conditions would be ideal for Kipchoge to attempt a sub-two-hour marathon.
Kipchoge did attempt to break the two-hour barrier in Monza, Italy on May 6, 2017, but ended up 25 seconds shot when he returned 2 hours and 25 seconds (2:00:25).

The Vienna race, which will demonstrate the resilience of the human spirit, will no doubt send adrenaline levels running high around the globe.

Every tissue in Kipchoge’s body, all vital organs starting with the heart and of course the brain will be stretched to the limit.

Gerald Lwande, a Biomedical Scientist at Precise Genomics Laboratories believes it will be the ultimate test for Kipchoge.

“I strongly believe his body will handle the rigours of the exercise,” Lwande said yesterday.

“In Monza, Eliud achieved a time of 2 hours and 25 seconds. It is believed that with the improved shoe, hydration, course modification and other technologies; Eliud will run below two hours (1 hour 59 minutes) without any adverse physiological outcome.”

Like the rest of the world, Kenya with awaits one of their greatest sons to break the barrier that will inspire every soul in the world to pursue their countless possibilities.

qnybwlqvudufc2q5d957a0f102e6.jpg
Bankrolling Kipchoge's attempt: British multi-billionaire Jim Ratcliffe.

 
Kali sana hii, alafu Eliud amechagua Pacemakers 42, wanariadha kutoka kote duniani, ambao watamsaidia kukimbia na kutimiza malengo yake. Kati ya wale walio'confirm' kwamba watakuepo ni pamoja na wakenya 15 na wanariadha wengine zaidi ya 8 ambao asili yao ni Kenya.
 
Aiseee wakati Watanzania hatupeleki hata m1
 
Waafrika tunaongoza kutumia nguvu tuu akili hamnaa kitu
 
atikutombea mkeo??
Kiswahili hujui halafu una-quote watu


Huku bongo ukisikia mtu anaitwa "mtu mbaya" au "jamaa flani si mtu mzuri",maana yake huyo mtu anasifiwa kwa uweledi wa jambo analolifanya hasa akiweza kulifanya mara kwa mara,sikumaanisha mtu mbaya kama unavyofikiri wewe,ila si kosa lako wakenya nyie ni zero katika lugha hii adhimu ya kiswahili
 
Mungu na akawe taa yake na pumzi yako ktk kutimiza dhamira yake.Africa hatuna watu wa kutubeba japo na siye tuonekane tupo active duniani zaidi ya watu kama hawa maana hata viongozi wetu wengi ni wa hovyo.
 
Back
Top Bottom