Unaonekana una homa ya utanzania, unakereketwa na watanzania na unaubabe na majivuno ya ukenya, usiwe hivyo ndugu sote tuko sawa kibinaadamu. Mungu akipenda Eliud atavunja record yake. BAKI SALAMA Eliud, BAKI SALAMA Tony254.Watanzania wenye chuki hawatapatikana huku. Wenye roho safi tu ndio watakaotoa comment zao.
Huku bongo
Watanzania wenye chuki hawatapatikana huku. Wenye roho safi tu ndio watakaotoa comment zao.
Mwanaume umejaa wivu wa kike mbona ama hio ndio Hali yenu Watanzania?It's a matter of time, huyu antidoping itadeal nae sababu wakenya wengi wamefungiwa
Wacha ukabila. Ulifunzwa na Mwalimu Nyerere kwamba ukabila ni sumu lakini wewe husikii.Hamna chuki kwa Mkalenjin, Wakalenjin hawana shida na mtu. Shida mnayo nyie watoto wa Mumbi.
Yamune!!!
natumaini umejifunza kitu,lugha zote duniani ndo ziko hivyousituletee kiswahili cha tandale vijiweni hapa kwa Kenyan news and politics.