GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ndio nini hiki mkuu?Mambuzi Party
Msando huyuhuyu mamluki ampige chini aboud ....BIG NO
GENTAMYCINE hiki nini?Mambuzi Party
☝🏿Mambuzi Party.
Askari WA kukodi, yaani Mamluki WA Mzee WA ChattleMsando hua unamchukuliaje kwanza tuanzie hapo,
Msando bado hawezi kupenya fitina za mambuziMsando huyuhuyu mamluki ampige chini aboud ....BIG NO
Umesikika... Promax.. [emoji116]Msando huyuhuyu mamluki ampige chini aboud ....BIG NO
The guy was very smart and has changed Morogoro town significantly.. Huwa sielewi mimi lengo la haya mabadiliko... Yaani mtu ambaye ameleta mabadiliko makubwa abaobdolewa na kuleta mpya ili kuanza upya au kurudi nyuma hatua kadhaa...Msando huyu wa Gigy Money
Daaah sijawahi kuona kitu amefanya huyu jamaa hapo Kisarawe, sana sana amerudisha nyuma good efforts za Jokate...Msando kisiasa hana ubavu wa kumshinda hata Nikki wa Pili.
Msando kisiasa hana ubavu wa kumshinda hata Nikki wa Pili.
pot nilijuaga zimo, kumbe hamna kituZa ndani nilizozipata kutoka kwa Chawa Wako zinasema leo Jioni utakutana nao mahala na Mzinywe na Wale sana kwani Mtu aliyekuwa akikunyima Usingizi Wakili Albert Msando aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro uliyoko amehamishwa na Mkeka mpya wa Mama.
Ila kwa DC Msando alivyowekeza hapo Wilayani Morogoro nina uhakika hiyo 2025 akitinia Nia na Kugombea nawe Ubunge wa hapo anaoutaka sana atakushinda japo nawe umeshaweka Mizizi yako ukijumlisha na Pesa zako ambazo huwa Unazimwaga mno kwa Watu (Chawa) na Wapiga Kura wa Mambuzi Party.
mijitu ya ccm shida sanaZa ndani nilizozipata kutoka kwa Chawa Wako zinasema leo Jioni utakutana nao mahala na Mzinywe na Wale sana kwani Mtu aliyekuwa akikunyima Usingizi Wakili Albert Msando aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro uliyoko amehamishwa na Mkeka mpya wa Mama.
Ila kwa DC Msando alivyowekeza hapo Wilayani Morogoro nina uhakika hiyo 2025 akitinia Nia na Kugombea nawe Ubunge wa hapo anaoutaka sana atakushinda japo nawe umeshaweka Mizizi yako ukijumlisha na Pesa zako ambazo huwa Unazimwaga mno kwa Watu (Chawa) na Wapiga Kura wa Mambuzi Party.
Unaelewa maana ya NGUVU YA KISIASA?Performance ya msando uilinganishe na performance ya Nikk wa pili?
Msando kapelekwa wapi chief?Za ndani nilizozipata kutoka kwa Chawa Wako zinasema leo Jioni utakutana nao mahala na Mzinywe na Wale sana kwani Mtu aliyekuwa akikunyima Usingizi Wakili Albert Msando aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro uliyoko amehamishwa na Mkeka mpya wa Mama.