GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Siyo Team Mama ( SSH ) Mkuu na hata huko alikopelekwa mwaka huu huu 2023 au mwakani 2024 anaenda Kuondolewa mazima kama ilivyofanyika / ilivyotokea kwa Jerry Muro. Niamini 100% kwa hili Mkuu.The guy was very smart and has changed Morogoro town significantly.. Huwa sielewi mimi lengo la haya mabadiliko... Yaani mtu ambaye ameleta mabadiliko makubwa abaobdolewa na kuleta mpya ili kuanza upya au kurudi nyuma hatua kadhaa...
Wilaya moja yenye Wachawi Wallioshindikana katika Mkoa ambao Timu yake iliyoko Ligi Kuu ya NBC Jumamosi hii ijayo ( tarehe 28 January, 2023 ) Saa 1 Kamili Usiku itacheza na Simba SC katika TFF ASFC Mkapa Stadium.Msando kapelekwa wapi chief?
Very creative na reasoning capacity yake iko vizuriMsando hua unamchukuliaje kwanza tuanzie hapo,
Kwangu Mimi huyu ni Prime Minister Material kwa Rais ajaye wa Tanzania mwaka 2025, japo najua kwa Wivu, Chuki na Uswahili wetu hatokuwa.Very creative na reasoning capacity yake iko vizuri
Na mimi namshangaa... Labda anazungumzia performance kwenye bongo fleva hukoo..Performance ya msando uilinganishe na performance ya Nikk wa pili?
super f..lKwangu Mimi huyu ni Prime Minister Material kwa Rais ajaye wa Tanzania mwaka 2025, japo najua kwa Wivu, Chuki na Uswahili wetu hatokuwa.
super f..lSiyo Team Mama ( SSH ) Mkuu na hata huko alikopelekwa mwaka huu huu 2023 au mwakani 2024 anaenda Kuondolewa mazima kama ilivyofanyika / ilivyotokea kwa Jerry Muro. Niamini 100% kwa hili Mkuu.