Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Ni noma sana watu wali tegemea mazito mpaka unashituka, mtu anakwambia ananunua vichwa vya treni na mabehewa anaingia ubia na serekali.Mwajiri halafu vunga ,kibongo bongo ukiwa na ujasiri maandizi tu wewe ni tajiri
Hahaha Kuna mwamba tukonae,daily wimbo wa pai namna atakavyokuwa "young bilioner " tunasubiria Pi iteme na ana mpango wa kuacha kazi baada ya Pi kutemaHuyu kijana aliyekuwa anafanya kazi hapa kama operator wa forklift, aliacha ghafla kuja kazini wiki chache zilizopita. Nikafanya jitihada kumtafuta akawa hapokei simu.
Baada ya siku kadhaa akanipigia akaniambia anakaribia kuuza coin zake hivyo hafanyi kazi za kimaskini nitafute mtu mwingine.
Ukweli ni kuwa nilimpa muda wa kutafakari, baada ya ukimya kutawala ikabidi tutafute kijana mwingine.
Sasa leo kaja nyumbani na mjomba wake anaomba sana arudi kazini hata kwa kazi za kusaidia mafundi maana yakwake imeshachukuliwa.
Sasa naogopa kumwajiri tena huyu tajiri wa Pi - Network maana aliniambia yeye ni bilionea.
Niliwahi kuona uzi wa Pi hapa JF sijui matajiri wa hapa JF walifanikiwa au vipi? Nataka niwaunganishe na tajiri mwenzenu mpeane mbinu za kivita.
Sio chai wazee wa pi wame addicted kama wenye football analysis na aviaterChai
Ngoja tuone mkuu mambo magumu na siwezi kumtoa huyu mgeni ntakuwa namwonea, huyu itabidi akae sehemu nyingine ila maslahi atapata chini kidogo.Mpe tu nafasi nyingine mkuu
Kama hayajakukuta ushukuru sana.Chai
Sio chai wazee wa pi wame addicted kama wenye football analysis na aviater
Hadi kaja na mjomba wake mtakuwa mnafamiana/ndugu. Mpe hiyo nafasi anayoitaka atakuwa amejifunza.Sasa leo kaja nyumbani na mjomba wake anaomba sana arudi kazini hata kwa kazi za kusaidia mafundi maana yakwake imeshachukuliwa.