GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hakuna kubembelezana naona amefanya Kama Poropesa Le profeseli lipumbaKwa taarifa za uhakika kabisa na zilizonifikia hivi punde kutoka kwa Mtu wa karibu wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Klabu ya Simba SC na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Simba SC ' Tajiri ' Zackaria Hanspoppe ' ametengua ' rasmi ' maamuzi ' yake ya ' Kujiuzulu ' aliyoyatoa jana na sasa amerejea rasmi Msimbazi na ataendelea kuisaidia na kushirikiana na Uongozi wote wa Klabu.
Kila la kheri.
Mkuu samahani, huyu ndiye mwenye mabasi ya zackaria?Kwa taarifa za uhakika kabisa na zilizonifikia hivi punde kutoka kwa Mtu wa karibu wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Klabu ya Simba SC na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Simba SC ' Tajiri ' Zackaria Hanspoppe ' ametengua ' rasmi ' maamuzi ' yake ya ' Kujiuzulu ' aliyoyatoa jana na sasa amerejea rasmi Msimbazi na ataendelea kuisaidia na kushirikiana na Uongozi wote wa Klabu.
Kila la kheri.
Mkuu samahani, huyu ndiye mwenye mabasi ya zackaria?
Sarakasi za kutengua nilidhani ni Lipunda peke yake anaziweza kumbe wako wengi.
Mkuu huyo ' Lipunda ' wako ndiyo nani tena?
Kwa taarifa za uhakika kabisa na zilizonifikia hivi punde kutoka kwa Mtu wa karibu wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Klabu ya Simba SC na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Simba SC ' Tajiri ' Zackaria Hanspoppe ' ametengua ' rasmi ' maamuzi ' yake ya ' Kujiuzulu ' aliyoyatoa jana na sasa amerejea rasmi Msimbazi na ataendelea kuisaidia na kushirikiana na Uongozi wote wa Klabu.
Kila la kheri.
mmmhh!!! sidhani kama ni huyu mkuu si niyale yanayofanya safari za mwanza-sirari?Mkuu samahani, huyu ndiye mwenye mabasi ya zackaria?
Kapewa nae Mgao wake wameenda sawa!
Kaiga Nyayo za Prof Lipumba, ukiombwa kurejea na Wanachama huna budi Kutii!
SI KWELI...
Hayo maneno ya kujifariji baada ya kukosa ubingwa!! Hangaikeni na mechi ya FA dhidi ya mbao acha porojo hata Simba washirikina na Mechi ya Juzi Mliwasaidia sana Mbeya city kiuchawi yaani tulicheza na timu mbili- lakini tulikuwa imara.Mimi na Wewe hatujui Mkuu hivyo tuache ' kubahatisha ' na ikibidi baki tu na Timu yako ya Yanga FC au kamuuguze Mchezaji wenu Simon Happygod Msuva ambaye juzi mlimvalisha ' Jezi ' kumbe ndani yake ' mmeishonea ' Hirizi bila ya Yeye kujua ili aibebe Timu yenu ' Kiuchawi ' na bahati mbaya ' akagonganga ' na Mtu aliyekuwa na ' Hirizi ' kubwa zaidi yake Mchezaji Shamte wa Mbeya City na akapasuka na kuchanika vibaya nusura ya Kufa pale Uwanjani.
Waambie Uongozi wa Yanga FC kuwa kuanzia sasa wakiwa wanawavalisha ' Hirizi ' za ' Majini ' Wachezaji wake basi angalau wawe wanawaambia ili wajue kuliko kufanya kwa Siri halafu mwishoni mnakuja ' kuwaumiza ' kama vile juzi kwa Msuva.
au ' nitiririke ' na ' niserereke ' hapa JF vizuri juu ya aina ya ' Uchawi ' ambao Yanga FC mnaufanya ambao unaathiri sana hata ' uchezaji ' wa Wachezaji wenu? Unajua kilichomkuta Ngoma? Unajua kwanini Dante sasa analalamika akiwa mazoezini anaona vizuri ila akiwa uwanjani katika mechi haoni? Unajua Beki na Nahodha wenu Cannavaro kwanini hapatani sasa na akina Kelvin na Bossou? Unajua kwanini sasa hivi Ben Kakolanya ndiyo Kipa chagua moja na akina Barthez na Dida hawana tena thamani? Unajua bifu la Dida na Barthez ' Magolikipa ' wenu muhimu kabisa limetokana na nini?
Mkuu tena nakuomba ' utulie ' hivyo hivyo nisije ' nikawaumbua ' humu Yanga FC yako / yenu.