Tajiri Zackaria Hans poppe amerejea rasmi Simba

Wanamalizana sasa na Mohammed Dewji ' MO ' na muda wowote kuanzia sasa kuna ' taarifa ' yake rasmi ya kurejea ' Kundini ' itatolewa tena na Yeye mwenyewe. Tunawashukuru mno Viongozi wawili wa Kisiasa nchini Tanzania mmoja ana ' Cheo ' cha juu kabisa na mwingine ana Cheo cha juu kabisa katika Chama fulani cha Upinzani kwa kuweza kuliingilia hili kati na kumshawishi Hanspoppe na sasa wanamalizana na Mohammed Dewji ' MO '.

Hii ndiyo Simba SC bhana!
 
Hapana huyu Yeye ndiye mwenye yale ' Malori ' makubwa ya kusafirisha ' Mafuta ' Congo DR, Rwanda, Burundi, Zambia na Malawi yenye ' Nembo ' kubwa ya ZHP lakini pia ana ' Biashara ' zake nyingi zingine ndani na nje ya nchi. Pia ndiye mwenye Bar moja nzuri sana na ' tulivu ' ipo maeneo ya ' Avocado ' mtaa wa nyuma na ilipo Bar ya Tripple 7.

Ameingia katika Biashara baada ya kuamua kuachana na JWTZ ( Jeshi la Wananchi wa Tanzania ) ambapo ameachana na Jeshi miaka ya mwishoni ya 80 akiwa na ' Cheo ' chake Kikubwa tu cha ' Captain '. Ni Mtu mmoja makini tena kutokea katika Kabila la Watu wenye maamuzi ya mwisho la ' Kihehe ' kutoka Mkoani Iringa na hapendi ' masihara ' ya ' Kijinga Kijinga '.

Binafsi nashukuru amerudi ' Kundini ' kwani nina uhakika bila yeye kurudi basi mechi yetu ya Jumamosi ya kumaliza Ligi dhidi ya Mwadui FC najua Simba SC tungefungwa tutake tusitake lakini hata mechi yetu ya fainali ya ASFC dhidi ya Mbao FC nayo pia tungefungwa kwa sababu zangu Kuu tatu ambazo nikijisikia kuzielezea baadae humu nitafanya hivyo.

Ni imani yangu kubwa kuwa juhudi hizo hizo za Kiungwana na Kibusara ambazo zimeweza kumrejesha Klabuni ' Tajiri ' Hanspoppe basi zitatumika pia kuweza kumrejesha na Kubwa la Matajiri Tanzania nzima Mohammed Dewji ' MO ' ili ' Jahazi ' letu liende vyema kwani hakuna asiyejua kuwa Wanaoibeba Klabu ya Simba kwa nguvu zao kubwa na kwa kila kitu ni Zackaria Hanspoppe na Mohammed Dewji ' MO '.
Hakuachana na jeshi miaka ya mwisho ya 80. HansPope ni kati ya waliokuwa watuhumiwa wa uhaini wakitaka mpindua JKN. Alihukumiwa maisha na baadae kuachiliwa huru na BWM.
 
Ila kimuonekano jamaa amekaa kama Godfather fulani hivi yaani mafia fulani hivi.
 
Hapa sijaongelea hiyo Kesi yake bali naongelea Yeye kuachana rasmi na JWTZ miaka hiyo ya 80 tena akiwa na Cheo chake Kikubwa tu cha Captain. Kwanza kwa taarifa za ndani kabisa zinasema kuwa Yeye Zackaria Hanspoppe katika hiyo Kesi alihusishwa tu ' kimakosa ' ila aliyekuwa na huo mpango ' mbaya ' ni Kaka yake mkubwa. Sihitaji kuendelea zaidi ya hapa kwani sidhani kama hapa ni mahala pake na ukizingatia hata jambo lenyewe lilishamalizwa kitambo tu.
 
Yeah.Hata hilo la yeye kujitoa Simba na kurejea lishapita.Tuachane nalo.Tuangalie Simba inamalizaje ligi na kombe la FA.
 
Ila kimuonekano jamaa amekaa kama Godfather fulani hivi yaani mafia fulani hivi.

Tangia hapo ni ' Mafia ' aliyetukuka na ukitaka kulijua hili mtafute Makamu wa Urais wa Simba SC Godfrey Nyange Kaburu ' Peres ' muulize Mzee Hanspoppe mwaka jana mwezi March pale Taifa Simba SC ilipocheza na JKT Ruvu alitaka kumfanya nini baada ya kugundulika kuwa Yeye ( Kaburu ) alikuwa na tabia moja mbaya sana ( ambayo sitoitaja leo ) katika Dressing Room ya Wachezaji wa Simba SC. Naomba niishie hapa tafadhali ili nisije nikasema mengi zaidi halafu Wanasimba wakaanza kutokwa na machozi bure!
 
Mimi na Wewe hatujui Mkuu hivyo tuache ' kubahatisha ' na ikibidi baki tu na Timu yako ya Yanga FC au kamuuguze Mchezaji wenu Simon Happygod Msuva ambaye juzi mlimvalisha ' Jezi ' kumbe ndani yake ' mmeishonea ' Hirizi bila ya Yeye kujua ili aibebe Timu yenu ' Kiuchawi ' na bahati mbaya ' akagonganga ' na Mtu aliyekuwa na ' Hirizi ' kubwa zaidi yake Mchezaji Shamte wa Mbeya City na akapasuka na kuchanika vibaya nusura ya Kufa pale Uwanjani.

Waambie Uongozi wa Yanga FC kuwa kuanzia sasa wakiwa wanawavalisha ' Hirizi ' za ' Majini ' Wachezaji wake basi angalau wawe wanawaambia ili wajue kuliko kufanya kwa Siri halafu mwishoni mnakuja ' kuwaumiza ' kama vile juzi kwa Msuva.

au ' nitiririke ' na ' niserereke ' hapa JF vizuri juu ya aina ya ' Uchawi ' ambao Yanga FC mnaufanya ambao unaathiri sana hata ' uchezaji ' wa Wachezaji wenu? Unajua kilichomkuta Ngoma? Unajua kwanini Dante sasa analalamika akiwa mazoezini anaona vizuri ila akiwa uwanjani katika mechi haoni? Unajua Beki na Nahodha wenu Cannavaro kwanini hapatani sasa na akina Kelvin na Bossou? Unajua kwanini sasa hivi Ben Kakolanya ndiyo Kipa chagua moja na akina Barthez na Dida hawana tena thamani? Unajua bifu la Dida na Barthez ' Magolikipa ' wenu muhimu kabisa limetokana na nini?

Mkuu tena nakuomba ' utulie ' hivyo hivyo nisije ' nikawaumbua ' humu Yanga FC yako / yenu.
Km sio wivu sema tuone
 
Wanamalizana sasa na Mohammed Dewji ' MO ' na muda wowote kuanzia sasa kuna ' taarifa ' yake rasmi ya kurejea ' Kundini ' itatolewa tena na Yeye mwenyewe. Tunawashukuru mno Viongozi wawili wa Kisiasa nchini Tanzania mmoja ana ' Cheo ' cha juu kabisa na mwingine ana Cheo cha juu kabisa katika Chama fulani cha Upinzani kwa kuweza kuliingilia hili kati na kumshawishi Hanspoppe na sasa wanamalizana na Mohammed Dewji ' MO '.

Hii ndiyo Simba SC bhana!
Hao viongozi unaojitambia mbn wameshindwa kuisaidia timu ibebe ubigwa wakati huu ambao Yanga ilikuwa na wakati mgumu wa kifedha
 
Tangia hapo ni ' Mafia ' aliyetukuka na ukitaka kulijua hili mtafute Makamu wa Urais wa Simba SC Godfrey Nyange Kaburu ' Peres ' muulize Mzee Hanspoppe mwaka jana mwezi March pale Taifa Simba SC ilipocheza na JKT Ruvu alitaka kumfanya nini baada ya kugundulika kuwa Yeye ( Kaburu ) alikuwa na tabia moja mbaya sana ( ambayo sitoitaja leo ) katika Dressing Room ya Wachezaji wa Simba SC. Naomba niishie hapa tafadhali ili nisije nikasema mengi zaidi halafu Wanasimba wakaanza kutokwa na machozi bure!
Wewe jamaa kwa mikwara, ungekuwa nayo yakusema ungesema ulivyo mbea
 
Hans Pope ametengua maamuzi yake kama alivyofanya Lipumba
Lakini hicho chanzo kingepaswa kujibu maswala ya msingi, vinginevyo ni kama hawajaeleza lolote kuhusiana na kurejea huko:
(1) Hans Poppe alidai kuwa anapigwa danadana na akina Aveva ndiyo akajiuzulu. Hiyo danadana ilidanadanukaje? Yaani hatimaye walimwita au aliwaita? Na kama kweli alikuwa ameshaamua kujiuzulu, kwa nini ajihangaishe kuwatafuta? Au kama wao walimtafuta, kwa nini awafuate ilhali alikwishapitisha maamuzi ya kujiuzulu? (2) Je kurejea kwake kulikuwa kwa masharti gani? Kama ni bila masharti, atatushawishije kwamba hakuwa akitingisha kiberiti? Na kama ni kutingisha kiberiti, haoni kwamba anatutengenezea miwani ya kumwona alikuwa akidai chake kistaarabu? (3) Kitu gani kilichosibu ndani ya Kikao cha Usuluhishi kilichomfanya kuungana tena na watu aliyowaona hawakuwa na uungwana? Au ameridhika kwamba Mo Dewji hastahili tena heshima ambayo yeye Hans alituaminisha inamstahiki Mo?
 
Hapana huyu Yeye ndiye mwenye yale ' Malori ' makubwa ya kusafirisha ' Mafuta ' Congo DR, Rwanda, Burundi, Zambia na Malawi yenye ' Nembo ' kubwa ya ZHP lakini pia ana ' Biashara ' zake nyingi zingine ndani na nje ya nchi. Pia ndiye mwenye Bar moja nzuri sana na ' tulivu ' ipo maeneo ya ' Avocado ' mtaa wa nyuma na ilipo Bar ya Tripple 7.

Ameingia katika Biashara baada ya kuamua kuachana na JWTZ ( Jeshi la Wananchi wa Tanzania ) ambapo ameachana na Jeshi miaka ya mwishoni ya 80 akiwa na ' Cheo ' chake Kikubwa tu cha ' Captain '. Ni Mtu mmoja makini tena kutokea katika Kabila la Watu wenye maamuzi ya mwisho la ' Kihehe ' kutoka Mkoani Iringa na hapendi ' masihara ' ya ' Kijinga Kijinga '.

Binafsi nashukuru amerudi ' Kundini ' kwani nina uhakika bila yeye kurudi basi mechi yetu ya Jumamosi ya kumaliza Ligi dhidi ya Mwadui FC najua Simba SC tungefungwa tutake tusitake lakini hata mechi yetu ya fainali ya ASFC dhidi ya Mbao FC nayo pia tungefungwa kwa sababu zangu Kuu tatu ambazo nikijisikia kuzielezea baadae humu nitafanya hivyo.

Ni imani yangu kubwa kuwa juhudi hizo hizo za Kiungwana na Kibusara ambazo zimeweza kumrejesha Klabuni ' Tajiri ' Hanspoppe basi zitatumika pia kuweza kumrejesha na Kubwa la Matajiri Tanzania nzima Mohammed Dewji ' MO ' ili ' Jahazi ' letu liende vyema kwani hakuna asiyejua kuwa Wanaoibeba Klabu ya Simba kwa nguvu zao kubwa na kwa kila kitu ni Zackaria Hanspoppe na Mohammed Dewji ' MO '.
Na pia usisahau ni mmoja wa watu walioipiga sana serikali kwenye mizan baada ya watu wa mizani barabaran kumwonea kila siku,,ikafika kipindi kila gar lake likifika mizan lazma apigwe faini,,bas akawatega na gari isiyo na mzigo,wakamwandikia fain makusud kabsa,dereva akazungusha kuingiza yad akampigia Capt Him self,,afande manyota,tajiri mtukutu na mwnye huruma kupitiliza,akaja akazama mfukon kulipa faini,,

Kimbembe akamwambia tingo fungua mzigo wngu nihakikishe kufungua hakuna kitu,,mbona akawaidai jamaa mzigo wote mpka mahakaman na wakamlipa,heshima ikarud na kumwonea kukaisha
 
Mimi na Wewe hatujui Mkuu hivyo tuache ' kubahatisha ' na ikibidi baki tu na Timu yako ya Yanga FC au kamuuguze Mchezaji wenu Simon Happygod Msuva ambaye juzi mlimvalisha ' Jezi ' kumbe ndani yake ' mmeishonea ' Hirizi bila ya Yeye kujua ili aibebe Timu yenu ' Kiuchawi ' na bahati mbaya ' akagonganga ' na Mtu aliyekuwa na ' Hirizi ' kubwa zaidi yake Mchezaji Shamte wa Mbeya City na akapasuka na kuchanika vibaya nusura ya Kufa pale Uwanjani.

Waambie Uongozi wa Yanga FC kuwa kuanzia sasa wakiwa wanawavalisha ' Hirizi ' za ' Majini ' Wachezaji wake basi angalau wawe wanawaambia ili wajue kuliko kufanya kwa Siri halafu mwishoni mnakuja ' kuwaumiza ' kama vile juzi kwa Msuva.

au ' nitiririke ' na ' niserereke ' hapa JF vizuri juu ya aina ya ' Uchawi ' ambao Yanga FC mnaufanya ambao unaathiri sana hata ' uchezaji ' wa Wachezaji wenu? Unajua kilichomkuta Ngoma? Unajua kwanini Dante sasa analalamika akiwa mazoezini anaona vizuri ila akiwa uwanjani katika mechi haoni? Unajua Beki na Nahodha wenu Cannavaro kwanini hapatani sasa na akina Kelvin na Bossou? Unajua kwanini sasa hivi Ben Kakolanya ndiyo Kipa chagua moja na akina Barthez na Dida hawana tena thamani? Unajua bifu la Dida na Barthez ' Magolikipa ' wenu muhimu kabisa limetokana na nini?

Mkuu tena nakuomba ' utulie ' hivyo hivyo nisije ' nikawaumbua ' humu Yanga FC yako / yenu.
Dunia hii haina jipya. Wamenakili kwa Hussein Tindwa aliyefanyiwa kama hivyo na timu yake pale Uwanja wa zamani wa Taifa. Sema tu hii ya Yanga ilizumuliwa kidogo, mwenzake Tindwa alifariki kabisa!
 
Kwa taarifa za uhakika kabisa na zilizonifikia hivi punde kutoka kwa Mtu wa karibu wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Klabu ya Simba SC na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Simba SC ' Tajiri ' Zackaria Hanspoppe ' ametengua ' rasmi ' maamuzi ' yake ya ' Kujiuzulu ' aliyoyatoa jana na sasa amerejea rasmi Msimbazi na ataendelea kuisaidia na kushirikiana na Uongozi wote wa Klabu.

Kila la kheri.
Sawa na Lipu..... tu. Mhehe mwenzangu huyo kwao Iringa Embalasasa.
 
Hapana huyu Yeye ndiye mwenye yale ' Malori ' makubwa ya kusafirisha ' Mafuta ' Congo DR, Rwanda, Burundi, Zambia na Malawi yenye ' Nembo ' kubwa ya ZHP lakini pia ana ' Biashara ' zake nyingi zingine ndani na nje ya nchi. Pia ndiye mwenye Bar moja nzuri sana na ' tulivu ' ipo maeneo ya ' Avocado ' mtaa wa nyuma na ilipo Bar ya Tripple 7.

Ameingia katika Biashara baada ya kuamua kuachana na JWTZ ( Jeshi la Wananchi wa Tanzania ) ambapo ameachana na Jeshi miaka ya mwishoni ya 80 akiwa na ' Cheo ' chake Kikubwa tu cha ' Captain '. Ni Mtu mmoja makini tena kutokea katika Kabila la Watu wenye maamuzi ya mwisho la ' Kihehe ' kutoka Mkoani Iringa na hapendi ' masihara ' ya ' Kijinga Kijinga '.

Binafsi nashukuru amerudi ' Kundini ' kwani nina uhakika bila yeye kurudi basi mechi yetu ya Jumamosi ya kumaliza Ligi dhidi ya Mwadui FC najua Simba SC tungefungwa tutake tusitake lakini hata mechi yetu ya fainali ya ASFC dhidi ya Mbao FC nayo pia tungefungwa kwa sababu zangu Kuu tatu ambazo nikijisikia kuzielezea baadae humu nitafanya hivyo.

Ni imani yangu kubwa kuwa juhudi hizo hizo za Kiungwana na Kibusara ambazo zimeweza kumrejesha Klabuni ' Tajiri ' Hanspoppe basi zitatumika pia kuweza kumrejesha na Kubwa la Matajiri Tanzania nzima Mohammed Dewji ' MO ' ili ' Jahazi ' letu liende vyema kwani hakuna asiyejua kuwa Wanaoibeba Klabu ya Simba kwa nguvu zao kubwa na kwa kila kitu ni Zackaria Hanspoppe na Mohammed Dewji ' MO '.
Samahani mkuu. Weka taarifa sawa kuhusu ajira yake jeshini. Alihukumiwa kwa kesi ya uhaini wakati wa Nyerere na akina Eugene Maganga,Deutrich Mbogoro, .Alipata msamaha wa Mzee Mwinyi
 
Back
Top Bottom