KERO Takataka zahatarisha afya ya wananchi Tegeta Chasimba

KERO Takataka zahatarisha afya ya wananchi Tegeta Chasimba

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
HATARI YA MAGONJWA YA MILIPUKO TEGETA CHASIMBA

Wakazi wa Tegeta Chasimba wanaomba msaada wa kuondolewa takataka ili kuepukana na hatari ya magonjwa ya milipuko. Mkandarasi wa taka hajaonekana muda mtefu huku ikilelezwa ni kwa sababu ya miundombinu na sababu nyingine nyingi.

Kwa sasa hivi takataka zinatupwa kila mahali na kwa muda mrefu sana kitu ambacho ni tishio la afya ya wananchi.

IMG_20240811_071419.jpg
 
Back
Top Bottom