Take me- me good!!

Take me- me good!!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Mshukuru mungu kwa kukupa mume jamani..kumbuka pesa alitumia kwa ajili yako mwanandoa angeweka banl pengine na yeye angekuwa anahojiwa kama mwanasheria wetu kule lakini ni mapenzi ya mungu kukupata wee we ili mzitumie wote
msiwape watu mdomo a kuongea........
Ni mabinti wengi sasa wanatafuta watu wa kuwawowaa wengine wameamua kushinda makanisani na si hilo wengine
wanakupwa wazo me good take me..na mengine mengi

embu asbh ya leo mpongeze mumeo jamani kwa kukuwowaa na sio wewe kumuwowaa kama ndoa nyingine zilivyo bibi anakuwa na madaraka ya mume mume wako ni mume wako hata kama anakupikiaga anabaki kuwa mume anasimama kuwa mume hata kama ajajaliwa mtoto mungu atakusaidia mtapata watoto heshimu mume wako jamii isiyokuwa na mume jamii isiyo na maendeleo

jumapili njema
 
Back
Top Bottom