Tuliposema kuwa yawezekana hazai kwa sababu aliendekeza kutoa mimba, team wema walikuja juu na kutushushia matusi haya mshushieni matusi na huyo Wema wenu, si amekiri katoa mimba. Diamond alisema Wema hataki kuzaa mkamtukana ooh hana uwezo wa kuzalisha, baadae Wema akakiri mwenyewe kwamba hana uwezo wa kuzaaa mimacho hiyoo ikawatoka. Rai yangu kwenu team Wema, ifike mahali mkiambiwa kitu na watu mkitafakari sana kabla hamjaibukia kutukana, mnamtetea sana Wema halafu mwisho wa siku anawaaibisha.
Ha ha ha mjini raha sirudi kijijini tena na mashamba nauzaMie hata sijui kwa nini inakuwa hivi kabisa
Ila baada ya kuona huyu mwenzake kwenye kampuni yao, anayempigia kampeni ya ubunge anajibu watu hivi instagram kwa kitu kidogo inaonekana wote sawa tu
View attachment 261048
Ha ha ha mjini raha sirudi kijijini tena na mashamba nauza
Ndio wajue jinsi huyu mwanamke alivyo mpuuuzi....Huyu hafai kuigwa na Jamii yetu ya sasa,....Ni mfano mbaya zaidi kuwahi kutokea.
Utoaji mimba ni kosa kwa sheria za Tanzania...Eti "Mbunge mtarajiwa" anajivunia kuwa alitoa mimba kisa hakuwa tayari....
Tunaposema huyu mtu hana akili hatukosei.......na wapigakampeni wake wote akili zao zinafanana na zake
Sasa ndugu yangu Heaven on Earth nilikwambia huyu katoa mimba saba....sasa unaone eeeh? kaanza kukiri mwenyewe
Unakasirika kwa yeye kutoa mimba au kwa kulizungumza hilo publicly?
sijakasirika
Anaumwa nini tena mkuu? Mbona afya yake inaonyesha ni nzuri na tayari kukitumikia chama?
View attachment 261012
Mambo mengine bwana, atoe asitoe atajijua mwenyewe. ..
Ngoja niende zangu kwenye campaign mie.
Mambo mengine bwana, atoe asitoe atajijua mwenyewe. ..
Ngoja niende zangu kwenye campaign mie.
Hapo sasa kazi kwenu. Masela watakata funua na wataigonga kigumu , kigangstar. Takukuru ya mtaa
Naomba kuuliza,ivi na mtu ambae amejitangaza kuwa amewahi kutumia madawa ya kulevya au bangi nae anastahili kushtakiwa ama la?!
Campaign ipi tena?