Take One: Wema Sepetu akiri kutoa Mimba

Take One: Wema Sepetu akiri kutoa Mimba

Muheshimiwa Wema swali la nyongeza dadadadeki ....?
Hapo Rais ni Nyalandu hata uwaziri wa fedha atampa.
 
Tuliposema kuwa yawezekana hazai kwa sababu aliendekeza kutoa mimba, team wema walikuja juu na kutushushia matusi haya mshushieni matusi na huyo Wema wenu, si amekiri katoa mimba. Diamond alisema Wema hataki kuzaa mkamtukana ooh hana uwezo wa kuzalisha, baadae Wema akakiri mwenyewe kwamba hana uwezo wa kuzaaa mimacho hiyoo ikawatoka. Rai yangu kwenu team Wema, ifike mahali mkiambiwa kitu na watu mkitafakari sana kabla hamjaibukia kutukana, mnamtetea sana Wema halafu mwisho wa siku anawaaibisha.


Mimi nimemtoa ziko saba.....leo nikiwaambia watu humu wanadhani natania
 
Muheshimiwa wema sepetu au muheshimiwa mama ubaya??? Ipi ina sound good???
 
Ha ha ha mjini raha sirudi kijijini tena na mashamba nauza

Yaani halafu timu wema ndio wanatengeneza na kurusha kuonyesha wanajua kutukana khaaaaa

Ujinga umewajaaa kwa kweli

Kijana hata kazi ikiwepo anaejielewa hawezi kumpa na uchafu huu
 
Ndio wajue jinsi huyu mwanamke alivyo mpuuuzi....Huyu hafai kuigwa na Jamii yetu ya sasa,....Ni mfano mbaya zaidi kuwahi kutokea.

Utoaji mimba ni kosa kwa sheria za Tanzania...Eti "Mbunge mtarajiwa" anajivunia kuwa alitoa mimba kisa hakuwa tayari....

Tunaposema huyu mtu hana akili hatukosei.......na wapigakampeni wake wote akili zao zinafanana na zake

Sasa ndugu yangu Heaven on Earth nilikwambia huyu katoa mimba saba....sasa unaone eeeh? kaanza kukiri mwenyewe

Unakasirika kwa yeye kutoa mimba au kwa kulizungumza hilo publicly?
 
Last edited by a moderator:
Ndio anatarajia kuwa mbunge akawakilishe watanzania mjengoni"kweli hasara
 
Heshima kwenu wadau;

Sheria za Tanzania haziruhusu suala la Utoaji wa mimba katika Criminal Procdure Act ,1985 .
Katika sheria hio hio suala hili limejumuishwa katika makosa ya "Murder" ambayo makosa yake yanaweza kwenda kifungo cha maisha au kifo

Katika jedwali la Adhabu inaonesha adhabu zifuatazo kwa watu wanaotoa au kushiriki kutoa Mimba


  • 150.Attempt to procure abortion. -Imprisonment for fourteen years.
  • 151.Woman attempting to procure her own abortion. -Imprisonment for seven years.
  • 152.Supplying drugs or instruments to procure abortion. -Imprisonment for three years

Katika jamii yetu kuna watu ambao aidha kwa mazuri au mabaya yao wamekuwa wakiangaliwa na watu wengi.Vyombo vya habari pia vimekuwa vikiuza kwa kuwataja kutokana na scandals zao.

Hapa namwongelea Wema Sepetu ambaye yeye pia anaandikwa sana hasa na Magazeti ya "Udaku"

Magazeti haya yanasomwa sana na jamii kubwa ya watanzania hasa kutokana na hali zetu za elimu na "mazingira"

Huyu Binti amefikia hatua ya Kusema "Proudly" kuwa alitoa mimba kwa sababu hakuwa tayari,hili amelisema wakati akihojiwa na mtangazaji Zamaradi mketema wa Clouds TV;

Implication yake ni nini?


  1. Kwa wale wasio na uelewa mpana wataona kwamba ni sawa tu kutoa mimba kwa sababu wema ameongea proudly NA hakuna kilichofanyika
  2. Serikali inadhalilishwa wazi kuwa watu wanapigia kampeni suala la utoaji wa mimba kuwa ni halali tu
  3. Taasisi za Haki za binadamu hazifanyi kazi ipasavyo kiasi cha watu kama hawa kuachwa bila kukemewa.Huyu binti ameua na amekiri kwa mdomo wake kuua.
  4. Vyombo vya haki ya mama na Mtoto vinashindwa kuchukua hatua stahiki hata katika mazingira yaliyo wazi

Wito wangu;

Wahusika niliowataja hapo juu wachukue hatua ili kuiepusha jamii yetu na mambo kama haya
 
Naomba kuuliza,ivi na mtu ambae amejitangaza kuwa amewahi kutumia madawa ya kulevya au bangi nae anastahili kushtakiwa ama la?!
 
For Wema's sake !!! Zamarad kwanini hukuedit hyo sehemu ya WEMA kukiri ali abort.. Gaddamn it.

Yani mjengoni ilikua njia nyeupeeee.

Pole sana WEMA mdomo umekuponza. No one woman will come confidently in public to support u.

Sad. Sijui labda CCM iwe ndo imeoza kabisa.
 
Naomba kuuliza,ivi na mtu ambae amejitangaza kuwa amewahi kutumia madawa ya kulevya au bangi nae anastahili kushtakiwa ama la?!

Mkuu ishu ya MHESHIMIWA WEMA SEPETU(ndoto sasa) ni ya mauaji.

Kajiharibia hadi natamani nikamlambe vibao.
 
Back
Top Bottom