Tako/Taco

Ukitaka kutokosea ktk kuagiza jaribu kufanyia mazoezi hili neno kwa kulirudia mara tano kwa sauti. Tamka KOMATA kwa sauti mara tano kwa kurudia rudia.

Mkuu utaweza kuagiza mbona🤣
🤣🤣Mtanivunja mbavu
 
[emoji1][emoji1][emoji1] haya mambo ni mazito...
Nawaza jisnsi ya kuagiza nikifika huko migahawani
Sjui niseme naomba ....atafadhali nipe.....
šŸ˜‚šŸ˜‚Angalia usije ukapigwašŸ˜‚
 
[emoji1787][emoji1787]Mtanivunja mbavu
Niko mgahawani hapa....nimemuomba weita tena kwa kumnong'oneza anipe tako mbili.. za fasta zilizo jaa nyama..
Naona amekimbia kwenda kwa meneja sa sjui ni za kuoda ?? [emoji39][emoji39]
 
Niko mgahawani hapa....nimemuomba weita tena kwa kumnong'oneza anipe tako mbili.. za fasta zilizo jaa nyama..
Naona amekimbia kwenda kwa meneja sa sjui ni za kuoda ?? [emoji39][emoji39]
🤣🤣🤣Dah
 
Kama unashindwa kuagiza, ukifika waiter akija, vua suruali mgeuzie wezere mwambie naomba tako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…