Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,395
Kwani hizo nyumba ndo huishi watu wa middle income??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umebadilika sana rafiki na kuwa mnyenyekevu.Yule mja ambaye alikuwa akijigamba sana enzi HIZO..ya kwamba anapenda kuongea na watu ambao WAMESOMA na wenye UELEWA WA JUU hayupo tena.😎Vibaya ivo, mwenzio. 😛 😛
Umebadilika sana rafiki na kuwa mnyenyekevu.Yule mja ambaye alikuwa akijigamba sana enzi HIZO..ya kwamba anapenda kuongea na watu ambao WAMESOMA na wenye UELEWA WA JUU hayupo tena.😎
They say; give time time 😉😊
Kha!In any action there is equal and oposite reaction.
Pia sema nimefika bei kwako. Ahaa haa.
Na tungekuwa hivi mubashara, usingechomoka.
Tell him while he was away, JF was very peaceful.Karibu tena JF mkuu 😊 while you were away, dhahabu na mpunga uliangushwa Dar.
Hahahaha, ungejua kwanini mods. Wamenirudisha haraka, usingesema hivyo. Ulishaona wapi ban ya siku 5. Hahahaha, hahahaha, hahahaha.Tell him while he was away, JF was very peaceful.
Çç moo 🐮 bans can't last long coz of obvious reasons.Hahahaha, ungejua kwanini mods. Wamenirudisha haraka, usingesema hivyo. Ulishaona wapi ban ya siku 5. Hahahaha, hahahaha, hahahaha.
Çç moo 🐮 bans can't last long coz of obvious reasons.
The mods are so unfair. Ungetusi mkenya hungepigwa ban. Angeadhibiwa kwa niaba yako like they did to me. Mkikuyu akili majimaji rebellion, wherever you are, SHAME ON YOU!