Takriban watu 100 wafariki katika mapigano ya wachimba madini nchini Chad

Takriban watu 100 wafariki katika mapigano ya wachimba madini nchini Chad

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Mapigano kati ya wachimba madini wadogo, yaliyodumu ndani ya juma moja kaskazini mwa Chad yamesababisha takriban watu 100 kupoteza maisha na 40 kujeruhiwa, na kupelekea machimbo hayo kufungwa kwa muda usiojulikana

Inaelezwa kuwa mgogoro huo ulianza kama mzozo wa kawaida kati ya watu wawili lakini uliendelea na kugeuka mapigano kati ya wachimbaji wa Mauritania na Libya, kwa kuwa Wilaya ya Kouri Bougoudi ipo karibu na mpaka wa Libya inawavutia wachimba migodi kutoka ng'ambo ya Chad na majirani zake.

Aidha, Mahamat Nour Ibedou, mkuu wa Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu ya Chad, amelishutumu jeshi la nchi hiyo kwa kudai wanajeshi waliotumwa kuingilia kutuliza ghasia waliwafyatulia raia risasi

..................................................................................

Fighting between informal gold miners in a remote part of northern Chad has left around 100 people dead and 40 injured, the government says.

What began as a "mundane dispute between two individuals... degenerated", Defence Minister Daoud Yaya Brahim told the AFP news agency.

The mountainous Kouri Bougoudi district near the Libyan border attracts miners from across Chad and its neighbours.
The clashes occurred last week but details are only emerging now.

Some groups have put the death toll higher than the authorities, and have blamed the security forces for a number of the deaths.
The government sent a mission to the affected area - about 1,000km (620 miles) north-east of the capital, N'Djamena - when news of violence first came through.

A large military contingent has restored calm to the area, Gen Brahim is quoted by AFP as saying.
He added that the clashes were between people from Mauritania and Libya.

But last week, Mahamat Nour Ibedou, the head of Chad's National Human Rights Commission, said the soldiers who were sent to intervene "fired on people", AFP quotes him as saying.
He, and an opposition leader, put the death toll at 200, but the authorities deny this and say they were not responsible, AFP reports.

All gold mining activities in Kouri Bougoudi have now been suspended.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom