Takriban watu 580 wanaripotiwa kuuawa katika mapigano ya Israel na HAMAS

Takriban watu 580 wanaripotiwa kuuawa katika mapigano ya Israel na HAMAS

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
ISRAEL/GAZA: ZAIDI YA WATadi hiyo inajumuisha vifo takriban 350 vya Raia wa Israel na Wapalestina zaidi 230 ambao wametajwa kupoteza maisha kufuatia majibizano ya Mashambulizi kati ya Kundi la HAMAS kutoka Palestina na Jeshi la Israel

Mapigano yanaendelea hadi sasa ambapo Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu ameapa kuzisambaratisha ngome zote za HAMAS zilizopo katika Mji wa Mpakani wa Gaza

Ripoti zinaeleza kuwa zaidi ya Watu 2,000 wamejeruhiwa katika mashambulizi hayo. Hadi sasa HAMAS wanadai wanawashikilia zaidi ya Wapiganaji 100 wa Israel.

=======

Gunmen from the Palestinian group Hamas rampaged through Israeli towns on Saturday, killing at least 250 Israelis and escaping with dozens of hostages in by far the deadliest day of violence in Israel since the Yom Kippur war 50 years ago.

More than 230 Gazans were also killed when Israel responded with one of its most devastating days of retaliatory strikes. Fighting continued into the night.

"We will take mighty vengeance for this wicked day," Prime Minister Benjamin Netanyahu said.

Advertisement · Scroll to continue
"Hamas launched a cruel and wicked war. We will win this war but the price is too heavy to bear," he said. "Hamas wants to murder us all. This is an enemy that murders mothers and children in their homes, in their beds. An enemy that abducts elderly, children, teenage girls."

Hamas leader Ismail Haniyeh said the assault that had begun in Gaza, a narrow strip that is home to 2.3 million Palestinians, would spread to the West Bank and Jerusalem. Gazans have lived under an Israeli blockade for 16 years.

REUTERS
 
Hamas na makundi yote shirikishi washinde vita hivi
Unaota mchana, ngoja mgeuzwe vifusi na watoto wa Yakobo. Ni lini mfilisti akashinda vita na watu hawa waliobarikiwa?. Upanga wa Goliath, ulikata kichwa chake mwenyewe subiria uone matokeo. Ee Mola, mbariki Israel na watoto wake.
 
Sidhani kama Jews ni Taifa lililobarikiwa maana wanaupinga Ukristo toka enzi za manabii na wao ndio walimsurubu Yesu leo hii wabarikiwe kwa lipi mwezi uliopita pana Jews watano waliwatemea mate Wakristo huko huko Jerusalem sema mmedanganywa kuwa Jews ni Wakristo wakati wao wanaupinga Ukristo na Uislam...
 
Israel ya sasa unaita ni ya Watu waliobarikiwa!!!
Unaota mchana, ngoja mgeuzwe vifusi na watoto wa Yakobo. Ni lini mfilisti akashinda vita na watu hawa waliobarikiwa?. Upanga wa Goliath, ulikata kichwa chake mwenyewe subiria uone matokeo. Ee Mola, mbariki Israel na watoto wake.
Kweli watu weusi wengi wao ni wajinga sana.
Screenshot_2023-10-08-13-33-58-839_com.android.chrome.jpeg
Screenshot_2023-10-08-13-37-37-512_com.android.chrome.jpeg
Screenshot_2023-10-08-13-39-37-801_com.android.chrome.jpeg
Screenshot_2023-10-08-13-40-48-617_com.android.chrome.jpeg
 
JF nao wameishakuwa Pro-Israel daaa ukifungua uzi wa Israel kupigwa wanaunganisha daaa uzi wangu na huu wala haufanani.
 
JF nao wameishakuwa Pro-Israel daaa ukifungua uzi wa Israel kupigwa wanaunganisha daaa uzi wangu na huu wala haufanani.
[emoji3][emoji3][emoji3] eti Pro Israel
 
Back
Top Bottom