Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Joseph Kasongwa Mwaiswelo, amesema utafiti wa taasisi hiyo uliofanyika mwaka 2020 umebaini kuwa asilimia 23 ya Watanzania, sawa na watu milioni 15, wanapenda rushwa. Aidha, matokeo ya utafiti huo yanaonyesha kuwa wengi wanachukulia kipindi cha uchaguzi kama "wakati wa mavuno," wakiona fursa ya kupata manufaa kupitia vitendo vya rushwa.
Soma, Pia:
=> Katavi: TAKUKURU yabaini usimamizi mbovu katika miradi ya Serikali
=> TAKUKURU: Jeshi la Polisi ni kinara wa Rushwa nchini
=> TAKUKURU: Rushwa katika Taasisi za Dini hutokea wakati wa Uchaguzi wa Viongozi