maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,311 Reaction score 15,640 Sep 17, 2020 #21 Kampuni zingine za kithenge sana yaani pesa kidogo hiyo mnasumbua kulipa mpaka mchafuliwe brand yenu kiasi hicho? Ningekua mimi ningebandika hilo tangazo mji mzima hadi kwenye mabanda ya kuku
Kampuni zingine za kithenge sana yaani pesa kidogo hiyo mnasumbua kulipa mpaka mchafuliwe brand yenu kiasi hicho? Ningekua mimi ningebandika hilo tangazo mji mzima hadi kwenye mabanda ya kuku
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 22,719 Reaction score 40,739 Sep 17, 2020 #22 Kennedy said: Ni Roho Ngumu Kurudi Kuomba Tena Click to expand... Sio roho ngumu tuu,bali mshipa wa aibu umekata.
Kennedy said: Ni Roho Ngumu Kurudi Kuomba Tena Click to expand... Sio roho ngumu tuu,bali mshipa wa aibu umekata.