Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Nipo lodge moja ya Kyauke hapa naona maajabu ya dunia.
Kuna zoezi la bomoa bomoa nahisi wanatengeneza barabara.
Kuna nyumba baada ya lodge ya Kyauke njia ya kwenda Bonyokwa imeandikwa mita 3.4 ina ukuta wa kijani.
Mpaka sasa hajavunja, alichofanya aliita Tanroads wakapima tena ghafla ikaandikwa mt 1.3...Ajabu wa pemben yake kaongezewaaa hataree sana.