TAKUKURU chunguzeni barabara ya Bonyokwa, Tanroads mnaandika vunja mita 3.4 halafu baadae mnaandika mita 11. Kuna nini kinaendelea?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nipo lodge moja ya Kyauke hapa naona maajabu ya dunia.

Kuna zoezi la bomoa bomoa nahisi wanatengeneza barabara.

Kuna nyumba baada ya lodge ya Kyauke njia ya kwenda Bonyokwa imeandikwa mita 3.4 ina ukuta wa kijani.

Mpaka sasa hajavunja, alichofanya aliita Tanroads wakapima tena ghafla ikaandikwa mt 1.3...Ajabu wa pemben yake kaongezewaaa hataree sana.
 
Hiyo lodge wameibomoa yote au upande ? Fafanua
 
Naona unaitumia Mei mosi vizuri mpwa.
 
Bonyokwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile gesti ya Zomboko imeguswa na Hilo zoezi? Nilikua nafaidika Sana na hudma zake, kuanzia jikoni, vyumbani na bar.
 
BILA HAYA WAMEANDIKA GAFKAKA WENYEWE 3.4 MT IN GAFLA JAMAA KAINGIA
KAJENGA MT ....... UKIULIZA ANAKWAMBIA ULIZA TANROADS
 
Me napendaga kunywa maeneo ya tanesco ila takukuru fwatilien mtajua uchafu uliotumika shame n then. Atiii wanasemaaa waliopimaa mwanzoo walikoseeeqa maa.......a
 
meneja wa tanroafs anajuaaaa huumichafu uliofanyike wish wangenigusaaa m wangenipendaaq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…