Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Mwigulu ongeza tozo wazalendo tukotayari kulipa.sisi wapenda soka sasa 👉Kama wanaiba kisha kunufaisha michezo au kuwekeza hapa nchini akuna baya.
Aisee watanzania!? Poleni sanasisi wapenda soka sasa [emoji117]Kama wanaiba kisha kunufaisha michezo au kuwekeza hapa nchini akuna baya.
...Yaani Mtazania Mwenzetu akiiba kwenye Kibubu Chetu hakuna Ubaya Kwa Sababu anatengeneza Uwanja?sisi wapenda soka sasa [emoji117]Kama wanaiba kisha kunufaisha michezo au kuwekeza hapa nchini akuna baya.
Labda waje TAKUKURU ya UkraneNi wazi SINGIDA BIG STARS ilianza kuonesha ukwasi baada msingida mshika kibubu chetu kuteuliwa, huyu mheshimiwa alianza na matengenezo ya viwanja vyetu vya mpira vilivyoporwa na CCM kukarabitiwa kwa kutumia pesa za serikali! Leo nimesikia klabu hiyo imemlipa mchezaji shs 100,000,000/=! Ili aendelee kuichezea klabu, pia klabu inawachezaji wa kutoka kwa wenye mpira wao! Hawa wote naamini malipo yao pia yamenona.
TAKUKURU ni vizuri wananchi tujue isije ikawa kibubu chetu kinakaushwa kwani hivi sasa ukaushaji ndio umeshamiri kila kona.
Ndio ivyoivyo wala sijakosea....Yaani Mtazania Mwenzetu akiiba kwenye Kibubu Chetu hakuna Ubaya Kwa Sababu anatengeneza Uwanja?
Hebu rudia Tena Kauli Yako !!!!
😆🤣🤣🤣kwani hivi sasa ukaushaji ndio umeshamiri kila kona.
Uwanja unatengenezwa kwa pesa za serikali....Yaani Mtazania Mwenzetu akiiba kwenye Kibubu Chetu hakuna Ubaya Kwa Sababu anatengeneza Uwanja?
Hebu rudia Tena Kauli Yako !!!!